Salaam/Shalom
TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA;
Ni mwendo wa hewa.
Husababishwa na joto la jua.
Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa...
Aliyekuwa WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge anaogelea katika utajiri wa zaidi ya Sh. 25 bilioni zenye utata huku Rais Jakaya Kikwete akiendelea kumkumbatia, MwanaHALISI limegundua.Chenge...
Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kwa zaidi ya mwaka mmoja kubainisha wazi mpango wa ujenzi wa Soko la kisasa eneo la katikati ya Mji ambapo lipo soko ambalo limekuwa likitumika muda...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
Leo nilikuwa nausikiliza wimbo ya Bahati bukuku KAMPENI, na humo ndani anasema kwamba shetani Yuko kwenye kampeni.
Hajakosea Ni kweli shetani Yuko...
Wadau hamjamboni nyote?
Mtakie sikukuu njema ya noeli Kwa sentence moja memba mmoja tu wa JF kwa kumtaja jina lake
Binafsi niwatakie sikukuu njema yenye kila aina ya furaha.
Siku njema
Kwa jina la Yesu × 100. Kwa damu ya Yesu× 100, Nakataa, navunja kila aina ya uonevu. × 100 raparakashaaaaaa, horooooshiba sakorabokoo shakantilal nakataa kuonewa rapa shakaraaaaraaata. kwa damu...
Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja.
============================
Waziri Mkuu Kassim...
Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa.
Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini.
Hawa wanajua kwenda sawa na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameongoza kikao kilichoikutanisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jeshi la Polisi Tanzania pamoja na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Msigwa alikuwa ni mwanachama kindakindaki wa chama cha Chadema hili wote tunalitambua, amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema kwa muda wa miaka 10, Msigwa hakuna asilolifahamu kuhusu Chadema...
Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya...
Na Mwandishi Wetu,
Manyara.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais ,Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepengeza Wawekezaji wazawa wa kiwanda cha Mati Super brands limited kwa kulipa kodi stahiki...
Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi,
unaopatikana kwenye eneo la...
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.
Hivi kweli...
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa...
Nimepita Nairobi machinga wengi wameshika Manati mengi sana ya kupigia ndege (Catapults) ,soko.la manati kenya ni kubwa mno hadi Nairobi mji mkuu wa Kenya watanzania tuanze kuuza manati kenya...
Wakuu habari zenu,
Mwaka jana mwezi March kuna jamaa mtaani hapa aliniibia kuku mchana kweupe kabisa watu wanaona, nilipopata taarifa nikamtafuta mtaani nikamkosa, nikaamua kwenda nyumbani kwako...
Huu mnyukano unaoendelea ndani ya CHADEMA, Kwa maoni yangu, unachangiwa na mambo yafuatayo.
1. Inawezekana Kuna mambo ambayo Mbowe na watawala wamekubalina lakini yeye kama mwenyekiti ameshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.