📖Mhadhara (74)✍️
Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana.
Wapo wanaume ambao wana...
Habari wakuu! Nahitaji kufanya safari ya basi kutokea DSM mpka Gaborone Botswana mpaka! Naomba wenye ujuzi wa route na mabasi yanaoyoenda huko anijuze!
Karibu Gen Beta
Mwaka 2025 unaenda kuweka alama rasmi ya ujio wa kizazi kipya, kwa urahisi tu tunawajumuisha kwa kuwapa jina BETA.
Kizazi hiki ni kile kitakachoanza kuzaliwa kati ya miaka ya...
📖Mhadhara (73)✍️
Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi...
Wauza simu wa Kariakoo mtaa wa Aggrey , Makumbusho na Mwenge wanaongoza kwa kuuza "copy" ya simu halisi!
Hawa wauzaji wanachanganya na simu original na feki kuhadaa wanunuzi ambo wengi wanatoka...
Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba...
Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za...
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa...
Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele.
Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni.
Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya...
UTANGULIZI:
Kwa msio nifahamu ni kwamba, mimi Infantry Soldier ni mkristo ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na wala waislamu si magaidi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli...
Wanabodi,
Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na...
Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga)
Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri
1. Sakafu ni chafu
2. Mashuka...
Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni..
"Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa...
Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu
Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri...
Kwa macho yangu kabisa leo nimeshuhudia mtu mweusi kavaa suti na njumu
Je na wewe ni tukio gani alifanya mtu mweusi mwenzako ukashangaa sana
Mungu Kama utaniumba tena usiniumbe nikawa mtu...
🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓Acha umalaya ni dhambi.
✓ Acha kudanga ni dhambi.
✓ Acha wizi ni dhambi.
✓ Acha uchawi ni dhambi.
✓ Acha kutoa mimba ni dhambi.
✓ Acha...
Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka...
Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji...
Kwa nini nauliza hayo?
1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya...
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu.
Kuna kijana alipewa nafasi ya kuuliza swali akataka kujua ufafanuzi wa aya na inaonekana alikusudia aya mbili za surat naml (27:39-40). Kijana yule kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.