1986: Kuanza Safari Baltimore School of the Arts
Nilikulia katika maisha ya kawaida ya huko Bongo land kabla ya familia yangu kuhamia Marekani kutafuta maisha bora. Mwaka 1986, nilijiunga na...
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!
Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya...
Meditation (Kutafakari) ni nini?
Meditation, inayojulikana pia kama kutafakari kwa kina, ni zoezi la kiakili linalohusisha kuzingatia mawazo, pumzi, au hali fulani ili kufikia utulivu wa ndani...
Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja?
Na Je nichague...
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa...
Mimi kipaji changu ambacho sikitumii kabisa ni kupiga gitaa, hasa hasa gita la solo. Hiki kipaji Mungu alinipa toka utoto wangu,nilianza kwa kupiga madebe, makopo, nikapiga marimba, zeze, ndipo...
Jeshi la polisi wilayani Kilolo, mkoani Iringa linamshikilia mwenyekiti wa Kijiji cha Mtandika kwa mahojiano zaidi kuhusu tuhuma za kuchukua fedha kwa wafugaji na kusababisha migogoro kati ya...
2024 ulikuwa nimwaka mgumu sana kwangu, sijui wapi nilifeli maana kama ni kupambana nimepambana sana ila sijaona hatua nilizopiga zaidi yamaumivu tu.
Mwaka huu kama Mungu atanipa pumzi na afya...
Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko...
Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani?
Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi...
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.
Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.
Kuhani...
Habari,
Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti.
Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao.
Pesa hizo zinahusisha miamala ya...
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia...
Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili.
Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.
Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya...
Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran...
Wakuu habari yenu
Kuna jambo ameongea Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitahadharisha kuhusu athari ya teknolojia katika tasnia ya habari nchini, akisema inaweza...
Sijui ni mila na desturi ama ni mazoea yaliojengeka kutokana na malezi, mazoea yani inshort nakosa majibu.
1. Si jambo la kushangaza mkoani Tanga kumkuta kijana akiishi ukweni pamoja na familia...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni...
Nilienda kutembea Dar es Salaam kwa dada yangu wakati wa sherehe hizi za christimass.
Basi tarehe 25/12 kama kawaida tulikwenda ibadani na kurudi nyumbani,kilichofuata ni maongezi tu ya kifamilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.