Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi...
3 Reactions
8 Replies
379 Views
Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga. Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi? Yanauzwa sokoni kama mboga...
10 Reactions
100 Replies
2K Views
Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu...
2 Reactions
58 Replies
847 Views
Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa. Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi...
10 Reactions
124 Replies
2K Views
Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia...
3 Reactions
13 Replies
367 Views
Sativa amesimulia kwa kina tukio la kutekwa kwake jijini Dar es Salaam, ambapo alifunikwa kwa mask yenye matundu ya macho na mdomo yaliyogeuzwa nyuma. Alisafirishwa kwa gari aina ya Hilux Double...
15 Reactions
75 Replies
5K Views
1.punyeto 2.uvivu 3.kutoa bikra 4.mademu chuma ulete 5.stress i will live the way i want 6.pombe 7.kucare watu N.k Sema yako
7 Reactions
41 Replies
791 Views
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu. Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha...
1 Reactions
2 Replies
130 Views
Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji...
7 Reactions
24 Replies
867 Views
Tusubiri tuone nafasi ya maisha ya unafiki kwa nchi ya Tanzania ipo kwa kiwango gani na nafasi ya Serikali katika kulinda taswira ya nchi. Ni hayo tu Pang Fung Mi
2 Reactions
3 Replies
477 Views
Athuman Malesa (22) mkazi wa Kijiji cha Kaloleni wilayani Chemba mkoani Dodoma, ameuawa na watu wenye hasira kali kwa kuchomwa moto, akituhumiwa kwa mauaji na kufanya vitendo vya ukatili ikiwemo...
7 Reactions
11 Replies
606 Views
YAJUE MAJINI KWA UNDANI - Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto " - Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi. - Majini ni...
12 Reactions
246 Replies
5K Views
Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia...
6 Reactions
170 Replies
5K Views
Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana...
1 Reactions
2 Replies
165 Views
Pale kituo cha mwendokasi cha Fire kuna wagonjwa wanaoenda Hospital ya Muhimbili wanasubiri mabasi ya muhimbili, sasa natoa wito kwa serikali kuongeza viti vya kutosha kwenye kituo ili wagonjwa...
4 Reactions
8 Replies
235 Views
Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia...
5 Reactions
159 Replies
8K Views
Siku hizi inqtumika nguvu kubwa kujenga majengo ya ibadq badala ya kujenga ibada yenyewe. Kuna mashindano yq nani anajengo zuri. Ulaya wao wamejenga majengo makubwa mazuri wakasahau kujenga...
2 Reactions
6 Replies
224 Views
Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+ Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s kushuka chini...
13 Reactions
86 Replies
5K Views
Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
3 Reactions
65 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom