Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa. Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri...
1 Reactions
2 Replies
201 Views
Utamsikia mtanzania anaziponda shule za Kayumba akisema " Shule za Kayumba hazifai kwa sababu kuna watoto wengi sana" Nabaki najiuliza hivi huyu mzazi ana fahamu chochote kuhusu saikolojia ya...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwenu mnaosomesha watoto shule za gharama ilihali serikali inatoa elimu bure , mzazi unapeleka mtoto kujiunga kidato cha kwanza shule binafsi utazani labda wanafundishwa masomo tofauti na alie...
12 Reactions
151 Replies
6K Views
Aliwaliza na anaendelea kuwaliza wengi, anachofanya anaweka vitu vya thamani kubwa kwa bei rahisi huku akisema tuma pesa sababu mzigo wengi wanauulizia sasa wabongo wanavyopenda mteremko...
3 Reactions
81 Replies
14K Views
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa...
6 Reactions
15 Replies
568 Views
Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona...
2 Reactions
21 Replies
515 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
13 Reactions
112 Replies
4K Views
Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo. Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You...
18 Reactions
86 Replies
3K Views
Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi...
4 Reactions
11 Replies
443 Views
RC QUEEN SENDIGA - UPATIKANAJI MAJI MANYARA MJINI 84% NA VIJIJINI 71% "Manyara kuna hali ya hewa nzuri ambayo unaweza kulima mazao yote na Manyara ina sifa ya uwekezaji kwenye sekta zote ambazo...
1 Reactions
5 Replies
256 Views
Wadau hamjamboni nyote? Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea? Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani? Tafakuri ya kina kwa wenye...
8 Reactions
25 Replies
615 Views
Kwa hesabu zetu huu ni mwanzo wa mwaka Kwa mujibu wa kalenda tunayoitumia, zipo kalenda nyingi lakini hii ndio iliyomakinika na kuwa na nguvu hivyo yote yatakayofanyika na kutokea Kwa mwaka huu...
47 Reactions
153 Replies
19K Views
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa, Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza...
49 Reactions
322 Replies
11K Views
Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Heri ya mwaka mpya 2025. Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine...
12 Reactions
118 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa. Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per...
3 Reactions
80 Replies
3K Views
WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine...
21 Reactions
41 Replies
733 Views
Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume...
1 Reactions
18 Replies
999 Views
Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi...
2 Reactions
11 Replies
470 Views
Anonymous (041d)
Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha . Wadau...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Back
Top Bottom