Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo nataka nikujuze kwanini kuna wakati baadhi yetu tuna watuhumu kimakosa JF wana mtu anayetoa siri za watumiaji wake waliojisajiri kumbe hawahusiki . Unakumbuka wakati flani kuna account ya...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Nina Jambo langu hapa! Nimekuwa nikitembelea maeneo tofauti ya ndani na nje ya nchi. Sasa kwenye suala la choo nimekuwa nikitumia vyenye sink la kuchuchumaa but enzi hizo huko bush...
14 Reactions
94 Replies
10K Views
Ukikutana na hiyo changamoto utapaswa kuchukua hatua gani? 1. Utaitaarifu kwanza ofisi ya ubalozi wako? 2. Utaripoti kituo cha Polisi cha nchi uliyopo?
2 Reactions
13 Replies
225 Views
Ndugu wana Jamvi ! Mimi nimevuka salama kabisa Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe Jibu hilo swalii. Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea...
1 Reactions
12 Replies
245 Views
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha mtoto wa miaka 6, Greyson Kanyenye aliyekuwa anaishi na mama yake anayejulika kama Jojo mjini Dodoma. IPPMedia wameandika: Kamanda wa Polisi...
18 Reactions
207 Replies
13K Views
Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God ...
5 Reactions
7 Replies
274 Views
Nimejiajiri (yaani Freelancer) na nimeona mabadiliko makubwa maana sina stress za kuamka mapema niwahi kazini, ila huwa nina wa-treat wateja kama mabosi zangu hivyo nina nidhamu kwenye kazi yangu...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ukichukua maiti ukaiweka sehemu safi mfano katika vigae au kitandani, Hii maiti ikianza kuoza wale bacteria (wadudu) ambao huanza kuibuka je huwa wanatoka wapi? Kama ni katika mwili means ndani...
1 Reactions
2 Replies
151 Views
Habari za usiku huu aisee. Juzi nilipata dharura nikarudi Dar kutokana na majukumu ya kusaka tonge. Nianze kwa kusema leo toka asubuhi nilivyoamka sio kuonja hata kugusa bia za kwenye jokofu...
4 Reactions
18 Replies
579 Views
Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu...
4 Reactions
9 Replies
542 Views
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki...
1 Reactions
6 Replies
508 Views
Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia matukio muhimu ya kiusalama nchini, milipuko ya mabomu katika maghala ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Mbagala mwaka 2009 na Gongo la Mboto mwaka...
9 Reactions
105 Replies
3K Views
Mahenge ni wilaya inayopatikana kusini mwa mkoa wa Morogoro na kabila la Wapogoro ndio wanapatikana huko. Ikiwa eneo la juu (Mlimani) na hali ya hewa ya ubaridi na mvua mvua. Wilaya hii ina...
38 Reactions
461 Replies
47K Views
Mimi ni mkazi wa Mtwara, nina lalamiko kuhusiana na malipo ya korosho kupitia Chama cha Ushirika-TANECU (Tandahimba-Newala Cooperative Union) umefanyika mnada wa kwanza, wa pili, wa tatu na wa...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao...
2 Reactions
4 Replies
218 Views
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha...
1 Reactions
4 Replies
286 Views
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria (OPEN University -OUT) ambao tunatarajia kuhitimu Shahada Mwaka huu na tayari Chuo kimepanga mahafali yafanyike Mkoani Kigoma tarehe 5 Disemba 2024...
5 Reactions
12 Replies
763 Views
Kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mnachangia choo na bafu na wapangaji wengine basi bado unaishi katika maisha duni sana, bado una safari ndefu ya kuyafikia maisha ya hadhi anayostahili...
20 Reactions
55 Replies
1K Views
Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya...
1 Reactions
11 Replies
263 Views
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi ...
12 Reactions
28 Replies
847 Views
Back
Top Bottom