Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry...
Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo
Naomba tuambiane
Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake
Kioo kwishnaaa
Winoo. Hioo
Samsung a03
Sijui sh ngapi...
Mimi nikiwa na shida sipendagi shida zangu ziwe kero kwa mwengine nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu kutafuta suluhu ya matatizo yangu , kadhalika huwa sipendi shida za mtu mwengine ziwe kero...
Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita.
Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji.
Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma...
1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani...
Inasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu.
Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa.
Hamna viburudisho wala miundombinu...
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi...
Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya
Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo
Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea
Tungeeweza kuthibiti vifoo...
Hamjambo wana JamiiForums
Wakati mwingine unaweza kuwaza sana hadi kichwa kinataka kubasti, kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono...
𝗠𝗔𝗚𝗔𝗭𝗘𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗚𝗨 𝗨𝗞𝗜LI𝗧𝗨𝗣𝗔 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗠𝗘𝗔
Inawezekana umeshangaa naam Japan ili kuondokana na uchafuzi wa mazingira waliunda magazeti ambayo yana mbegu ukifanikiwa kusoma na...
Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo...
Tanzania ni nchi iko vizuri kivita zikiwemo za kiroho
Osama na Gadafi ns magenge yake na pesa zao .Tanzania walikwama na future zao zikaishia
Kuna huyu mhubiri wa Kiislamu anaitwa Naik kaja...
Incase kuna ambaye amesalia kuwatakia mwaka mpya basi naomba niwe mimi,.
Happy new year Founder Maxence Melo na Uongozi wako mzima wa JamiiForums
Active Wand Moderator Payge Paw Mhariri Na...
Mzazi unataka nikujengee nyumba kubwa nikununulie na usafiri, haya unayoyahitaji kutoka kwangu sijui kama uliwahi kumfanyia mzazi wako hata robo yake, mmekuwa ni watu wa kututishia kutupa laana na...
Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa.
Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake...
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio.
Mgogoro huo...
Habari za jioni.
Aisee! Leo nimenunua gari langu la kwanza aina ya Altezza kwenye Yard fulani maeneo ya Fire Dar.
Kwakuwa najua kuendesha hata kabla ya kumiliki nikakamua wese mpaka Tegeta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.