Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga "JUDE" katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji.
Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo imeeleza uchambuzi wa...
Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra.
Mashuhuda wanasema kuwa...
Karibu binti na mwana wa Mama Afrika.
Moja ya Vitu ambavyo vinatafutwa na watu wa dini tatu maarufu ya Ukristo, uislamu na uyahudi, ni vibao viwili vya amri kumi za Mungu.
Kwa sababu Maandiko...
Hawa ni miamba wa Afrika walioandika vitabu vya hadithi siasa uchumi nk.. Wengi wameondoka wachache bado wako hai... Lakini bila kujali hilo Maandishi na maandiko yao yatadumu milele
Mine boy by...
.
Karibu binti na mwana wa mama Afrika.
Ili kumuelewa Mungu wa Biblia ni lazima kwanza kuielewa Biblia, chanzo na asili yake.
Wengi wananiuliza binafsi naamini nini kuhusu Biblia na mahusiano...
Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao
Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini...
Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia.
Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi...
.
Karibu binti na mwana wa mama Afrika.
Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho.
Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika...
Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Kwa sasa kuna...
Mwaka 2000 Sony walitoa utabiri wa Ps9 itakavyokuwa mwaka 2078
Sijui mwaka 2000 ulikua wapi ? Na umri Gani ? Lakini mnamo mwaka 2000 Sony waliweza kutoa Tangazo la biashara la kushangaza ambalo...
MKURUGENZI MKUU WA NSSF: DHAMIRA YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUHAKIKISHA WANANCHI WALIOJIAJIRI WANANUFAIKA NA HIFADHI YA JAMII.
Awapongeza wananchi kwa muitikio wa kujiunga na kuchangia ili...
Karibu binti na mwana wa mama Afrika.
Watu hufanya sala kama sehemu ya mazowea ya kuongea na Mungu.
Mbele ya pazia unaongea na Mungu wewe, Nyuma ya pazia unatekeleza mwenyewe.
Unaweza dhani...
Karibu Binti na mwana wa mama Afrika.
Mwanzoni nilieleza kama ufahamu wa juu wa mtu, Mungu aliufanya kuwa ngumu mtu kuuongoza kwa sababu maalumu.
Moja ya sababu ni kutodhurika na uchawi...
Habari zenu wakuu, ni jioni sasa, akili yangu inaniambia wacha nishee nanyi Watanzania wenzangu kitu kimoja kuhusu kusave pesa ili kuweza kufikia uhuru wa kiuchumi na kutimiza ndoto zetu iwe...
Mm sio mtu wa siasa ila nmekuwa nkijiuliza haya maswal nkaona nilete Uzi huu nipate kujua ukwel maana mwezi wa 10 sio mbali
Nmekuwa nliona tangu mwaka unaanza mama anaenda kuzindua miradi mbali...
Tazama video inasikitisha sana...
Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni!
Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha...
Wakuu habari .
Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako.
Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.