Ingawa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imepiga hatua kubwa katika kuchora na kuzalisha picha za binadamu, bado kuna changamoto kadhaa katika kuonesha viungo vya mwili kwa usahihi. Hii inatokana na...
ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO
MOSSHI
Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani...
Zab 104:34 SUV
[34] Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA.
Tunaweza kutafakari jambo kwa uzuri au kwa ubaya, inategemea umejikita haswa kwenye kitu gani wakati unafanya...
Utangulizi
Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo...
Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART)...
Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya...
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria...
Wadau wa JF, poleni na majukumu!
Dunia hii ina watu wa aina nyingi, lakini kuna baadhi ya watu ukiwa nao karibu, maisha yako yanaweza kuharibika vibaya sana! Kuna watu wakijifanya marafiki zako...
Walimu na Wastaafu Wenye Kero Mbalimbali wamejitokeza Kliniki Ya Walimu Na Samia Mkoani Arusha Kusikilizwa Na Kikosi KAZI Kutatua Kero zao
Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameuagiza Uongozi wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kuwaandikia notisi ya kuwatoa kwenye vitalu wawekezaji waliokiuka masharti ya Mkataba wa...
Jumla ya madawati 90 na viti vimetolewa kwa shule za sekondari na Wakala wa Uhifadhi Misitu Tanzania TFS wilayani Misenyi mkoani Kagera ili kuweza kuboresha upatikanaji wa Elimu kwa wanafunzi...
Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI
Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa...
Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya...
Ndugu WanaJF,
Mungu ni muuaji ambaye amefanya mauaji ya halaiki mara kwa mara na wote tumeyasoma kwenye simulizi za biblia.
Pamoja na hivyo, bado shetani analaumiwa zaidi kwa kudaiwa...
TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa?
Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki...
Habari zenu wadau wa Jamiiforums!
Ningependa kujadili jambo ambalo limekuwa likiibua maswali mengi miongoni mwetu. Tumeshuhudia matukio ambapo mtu anakutana na shida kubwa za kiafya baada ya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.