Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi
Je mapande yake yataangukia huku duniani ?
Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki...
Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.
Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi.
Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi...
Kijana aliyefahamika kwa jina la Mussa Ally mkazi wa Sahare, Jijini Tanga amemtuhumu Bondia wa Ngumi nchini, Hassan Mwakinyo Kumshambulia kwa kisu, na kumfungulia mbwa wanne Majira ya saa 12...
Jaman mtandaoni kuna vitu vingi sana lakini vingine vinanichanganya nimepita mtandaon nikakutana na kitu kinaitwa JINSI YA KUJIFUNZA UCHAWI Et wanasema uchawi ni sayansi tena et unaweza kujifunza...
Mimi ni mwajiriwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wananikata TALGWU tokea nimeajiriwa bila kushirikishwa na bila kuandika jina la kujiunga na bila kutia sahihi yangu sehemu yoyote...
hivi kwenye haya maisha yetu ya kila siku tumewai kujiuliza baadhi ya njia za maisha ya akhera,
basi nimepitia nukuu moja inasema "uwe hodari na jasiri usiogope,usife moyo,kwa maana mwenyezi...
Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungia viwanja vya Jamhuri, Dodoma, CCM Kirumba, Mwanza pamoja na Liti,Singida kutumika kwa michezo ya ligi kuu kwa kukosa vigezo vya kanuni na...
Wadau wa JamiiForums, habari!
Kuna mambo fulani ukiyatafakari sana kuhusu sisi Watanzania, unajikuta unashangaa na kustaajabu! Ni kana kwamba kuna mfumo maalum unaotusukuma kurudia makosa yale...
Wakuu Tumemsikia Msemaji wa Serikali Ndugu Greyson Msigwa akitoa Uchambuzi Juu ya Serikali kudhamiria Kununua Umeme Kutoka Ethiopia kupitia Kenya.
Msemaji huyo amedai ununuzi huo wa Umeme utaenda...
Wadau wa JamiiForums, heshima mbele!
Leo nimekuja na mada ya kugusa moyo kdg, naomba usikimbie! Huu ni ule ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kusikia, lakini tunapaswa kuukubali. Kuna tabia...
Eti wakuu, katika swali la kumuingiza mtu katika ajira mpya, urafiki, mapenzi, dili ya pesa, kumkabidhi asimamie mali yako wewe ukienda Ujerumani kusoma, does someone's background matter a lot au...
Huyu Bwana Kifo yeye hana ubaguzi kama Wanadamu, Kila mtu anampa mshahara ule ule hapunji wala haongezi.
Kifo asante kwa sababu wewe ni hakimu wa kweli, Na kila mtu utamuhukumu kwa mda wake...
Naungama na wengine wote waliopaza sauti zao kuhusu hili. Mamlaka tunaomba mtuonee huruma sasa, hizi meseji zinatosha sasa kwani zinajaza inbox za simu zetu.
Kama ni elimu naamini tushaipata ya...
Utangulizi
Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo...
Salaam, shalom!!
MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni.
Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama...
Naomba hapa wale watembea kwa sangoma mtoe shuhuda zenu mliyokutana nayo kwa waganga na toka umeanza kwenda Mganga.
Alikusaidia nini ukaona kabisa shida yako imetatuliwa kwa nguvu ya mganga...
Habari,
Maisha ya bara letu ni changamoto sana. Kitendo cha kuzaliwa hai na una pumua ni mzigo tosha, inafika kipindi unajiuliza nilizaliwa kuja kubeba majukumu yote haya?
Kusoma kwa kuungaunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.