Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya...
Habari wadau,
Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja...
Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku
yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika
nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza...
Haya mambo tulisha yasahau Baada ya Magufuli kuingia madarakani alikomesha kabisa haya mambo
Kama umeme ulikatika basi ni Kwa sababu za msingi na taarifa ilitokewa
Lakini hili linaloendelea Kwa...
Pamoja na kero ya kukatika kwa umeme inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam, Tanesco wanaweza kukata umeme na kuurejesha mara 8 au 10 kwa siku katika Manispaa ya Kigamboni.
Hii ni hatari sana...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam.
Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani...
Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara.
Huku...
Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara.
TANESCO mnaturudisha sana nyuma...
Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi...
Mimi ni mkazi wa Mbagala, Mbande, na kwa kweli hali ya umeme katika maeneo haya ni ya kutisha. Maeneo yote yanayozunguka Chamanzi, Mbande, na Kisewe yanakumbwa na matatizo makubwa yanayohusiana na...
Kuna Video inatembea sana Mitandaoni, ikimuonesha Kijana mmoja mwenye ugonjwa asili ya Tetekuwanga ila hii ni Extra..
tunapenda kupata tamko na maelezo juu ya ugonjwa huu, kutoka kwa mamlaka...
Jeshi la polisi mkoani Kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama Baraka pamoja na mwanae wa kiume aitwae Baraka mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa...
Hivi karibuni (takribani miezi mitatu sasa) nimeshuhudi baadhi ya watu huko mitaani wakijihusisha na uwekezaji katika jukwaa linalofahamika kama FIC (wenyewe wanawaita Football investment...
Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua...
Habari wanajukwaa!
Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa...
Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu?
Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga...
Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"!
Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.