Tufwate njia ya msalaba
Tuifwate mpaka Kalvario
Tusimamepo bila haya
Msalaba, Msalaba, huponya roho
Sala mbele ya altare
Ee Mkombozi wangu, nimekuja leo kufuata njia ile uliyoshika siku ya kufa...
Sijawahi kufika kwenye hizo nchi, lakini naamini nitafanya hivyo muda si mrefu.Lakini kwa stori za hapa JF, wengi wa wadau wanashauri kutokupita Zimbabwe kwa safari za kwenda Afrika Kusini...
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika...
Nimekuwa mtu wa kusaidia sana angalau kwa kiasi kidogo ninachopata kuwatimizia wahitaji.
Anaweza akapita mtu anahitaji msaada wenzangu wote watakaa kimya ila mimi lazima nitoe hata kama...
Mbona huku tuko busy na mishe zetu wala hatuna habari na siasa zao za kitapeli? Kwa sasa huwezi ingia tele bila vpn iwe simu au vpn.
Nimekaa nimewaza hawa jamaa kwani wana matatizo gani, pamoja...
Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi...
OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45)
zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia.
PM NIMEIFUNGA...
Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie
Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti.
Hili jambo...
Salute!
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kuingia Afrika Kusini ilikuwa mwaka 2015, nikiwa chuo mwaka wa 2. Kuanzia hapo safari za kwenda huko Bondeni zikawa ni za mara kwa mara.
Lkn kwa bahati...
Wakuu
Rais Samia akiongea kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo Januari 28,2025 Jijini Dar es salaam.
"Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Ltd, David Nchimbi (wa tano kutoka kulia) akimkabidhi tuzo Elizabeth Muro (kushoto), Mkurugenzi wa Sheria na Uadilifu wa Biashara wa SBL kwenye tukio...
Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka.
Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote.
Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa...
Habari, kama kichwa cha habari kinavyo nielezea hapo juu. Mimi ninauzoefu kwa kiasi juu ya vyakula kwa kuwa ni mtafiti, tabibu na ninamiliki duka la rejareja ingawa sipati muda wakuka mara nyingi...
China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜
Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu...
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu...
Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna...
Unawaza, “Nitafanya kesho,” lakini kesho haiji. Unataka kufanya mambo makubwa, lakini hata kuanza kunahisi kuwa ngumu. Unafikiria kuandika kitabu, kuwa na afya bora, au kujifunza jambo jipya...
Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli
Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara...
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia...
Nguvu ya hivi viungo ni kubwa kuliko unavyodhani... Kazi za hivi viungo ni kubwa kuliko inavyofikirika.....
Mkono wa baraka.... Kiimani huwa tunaomba eeh Mungu zibariki kazi za mikono yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.