Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.
Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo...
Wadau wa JF ukimwi katika nchi yetu kamwe hauwezi kwisha,ndani ya hizi hotel Madanguro) mambo ya kutisha yanaonyeshwa kwenye mitandao yao ya ndani.Kanda zote za kifedhuli zenye...
Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga...
Umefika hatua hata ukitaka kumsaidia mtu anakuhisi unataka kumtapeli.
Kwa madiba palinishangaza sana, watu wanaishi kwa kuliana Timing, hii inasababisha hata ukitaka kumsaidia mtu anahisi unataka...
Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa...
Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand...
1. Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.
2. Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa...
Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers.
Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika...
Tunaomba maafisa magereza wamuwezeshe kukimalizia hiki kitabu kabla jamaa hajanyongwa.
Pia soma > Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa
Mwanza. Daniel Sayi (48) mfanyabiashara wa ng’ombe wilayani Geita mkoani hapa, anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya...
KANUNI ZA KUOMBA MIUNGU NA KUJIBIWA
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani Katika Hekalu Jeusi,
Mtibeli.
Watu wengi wanauliza swali hili. Wengine wananipigia simu wakitaka kujua wafanyaje ili maombi...
Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana...
Na bado mkajenga bwawa kubwa Afrika Mashariki na kati lenye uwezo mkubwa sana.
Au huo umeme kutoka bwawa hilo ndiyo u unapiga U-turn kurudi kuja kuuzwa na tunanunua sisi wenyewe?.
Ni maswali ya kujiuliza jinsi wanavo kuja na silahaa ambazo hata kibari cha kumiliki uwezi pewa zaidi ya vitengo vinavyo husika tu huku magari ambayo hata uwezi miliki sababu mengi yanakuwa kwenye...
Hawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi?
Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea..
Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya...
Habari wadau wa JamiiForums,
Katika dunia ya sasa, tunakutana na aina nyingi za watu kwenye mitandao ya kijamii na jamii kwa ujumla. Wengine ni wasomi, wengine wamepitia changamoto mbalimbali za...
Habari ndugu zanguni.
Hope jumapili iko poa kabisa.
What is Science?
Hili ni swali ambalo wanafunzi wa kidato cha kwanza hupambana nalo pindi tu wakianza masomo ya secondari .
Jiografia ni...
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.