Mojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari...
Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake.
Kinachonishangaza ni...
Je, wazazi wako walikua na ukaribu na wewe, walikutia moyo, waliongea na wewe pale ulipohitaji, walitenga muda kwa ajili ya kufanya vitu pamoja na wewe au upendo wao ulionyeshwa kwa kutimiza...
1: Kutoa virus kwenye computer
2: Usambazaji wa Vifaa vya solar
3: Internet cafes
4: Uzaaji wa vocha jumla
5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
Wakuu
Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini
,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi...
Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali.
Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu...
Heshima kwenu wakuu!
Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa...
Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza...
Leo rais Samia amesema wapo kwenye mchakato wa kusaini mkataba ili tununue umeme kutoka kenya kwa ajili ya watu wa Kaskazini..
Sasa najiuliza kuna haja gani ya kununua umeme nchi jirani wakati...
Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k
Mtazamo huu ni potofu.
Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya...
Wengi wa hawa si wahubiri wa neno la Mungu wa kweli. Wataingiza tu maneno kama Yesu Kristo, Mungu Baba, Roho Mtakatifu, Biblia n.k kuwapumbaza watu ila uhalisia ni motivational speakers...
Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.
Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi...
Habari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio...
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke...
Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu kauli ya Rais Samia kwamba itanunua umeme maalum kwa ajili ya Mikoa ya Kanda Kaskazini ili kupunguza changamoto ya umeme kukatikakatika. Taarifa zinaeleza kuwa...
Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi...
Habari wana jamvi
Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.