Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha...
🏡 SAMIA HOUSING SCHEME: NDOTO INATIMIA! 🎉
Kawe, Dar es Salaam inazidi kung'aa! 🔥 Samia Housing Scheme, mradi wa makazi wa kisasa unaoleta mapinduzi ya ujenzi, sasa umefikia hatua kubwa – Uzio...
Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anaetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni...
Baada ya kufanya utafiti wa kina kupitia vyanzo mbalimbali, ikiwemo kusoma mijadala kwenye Jamii Forums kuhusu miji yenye fursa nzuri za kiuchumi nchini Tanzania, hatimaye nimefikia uamuzi rasmi...
Ni ukweli usiopingika miji miwili hii ya Kanda ya Ziwa inakuwa kwa kasi sana Jiji la Mwanza na Manispaa ya Kahama. Lakini kasi ya ukuaji na maendeleo ya Manispaa ya Kahama inaleta projection ya...
Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto...
Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu.
Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao...
Mwanamume mmoja huko Kayole, Kenya anayetambulika kama Evans Kidero Okoth anauguza majeraha mabaya kichwani baada ya ugomvi mkali baina yake na muuza bar, anayetambulika kama Mary Angara.
Siku ya...
Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa
Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na...
Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange...
Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa.
Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini...
Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea.
Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje...
Ushawahi jiuliza ukisikia spika wabunge nchi fulani ndani ya bunge akitoa maamuzi nchi nzima husimama kwa umakini kabisa kujua nini kinaelezwa.
Tofauti na huku kwetu japo ilikuwa zamani kipindi...
Wachina wameweza kutest bidhaa zao sana Afrika kwa sababu kadhaa. Moja ya sababu kuu ni kwamba Afrika inatoa soko lenye uwezo mkubwa wa kupokea bidhaa za bei nafuu, huku kukiwa na mahitaji makubwa...
Wasalaam
Wakuu mwezi huu ni wa heri kweli
Madhehebu makuu mawili kwa asilimia kubwa wako katika mfungo,japo kila moja lina namna yake na makusudi yake,lakini lau wote wanalenga kuwa na mahusiano...
Hivi watu mnaokaa huko Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, hadi mwananyamala mnasavaivu vipi kipindi hiki cha joto kali na ukame??
Najiuliza nakosa majibu kabisa, huko hakuna AC huko nyumba...
Viongozi jiji la Mwanza mko wapi kwa haya yanayoendelea stand za kuu za mabasi ya kwenda mikoani tena stand zote mbili hawa watu wanaokatisha tiketi za kuingia ndani ya stand wamejiwekea utaratibu...
Video hii inasambaa mitandaoni ikionesha mtu akiwa na dalili za ugonjwa wa Mpox akiwa karantini Hospitali ya VETA Kipawa, Majani ya Chai jijini Dar es Salaam
Wizara ya Afya bado haijatoa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.