Huko tuendako utasikia vumbi la upako toka Maka
Shekhe Mazinge naye kaunga juhudi za harakati za upako. Jana nilipokuwa nashuhudia juu ya Shafii na Mazinge wanaomwita Dr. Sule mnganga, nao sasa...
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote
Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya...
Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, naomba kujua nikitu gani, nani mwanzilishi, imesajiliwa ? Kama ndio imesajiliwa kama nini au nikanisa...
Naomba kujua hii kitu, asanteni wakuu
Sent using Jamii...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa...
Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kesi iliyofunguliwa na Wakili Wakili Kisabo kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mwanaharakati kijana Deusdedith Soka na wenzake wawili.
Soma Pia: Kutoweka kwa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umelaani vikali vitendo ambavyo vinaendelea dhidi ya wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kwa kukosoa na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo...
𝗠𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝗽𝘆𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝘄𝗲𝗻𝗱𝗼𝗸𝗮𝘀𝗶 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗚𝗮𝘀 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
Wakati upanuzi wa barabara za Mwendokasi ukiendelea ili kurahisisha Usafiri nchini Tanzania. Tanzania sasa inasubiria mabasi zaidi...
Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Graison Kanyenye (6) wamefikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024.
Soma, Pia: Dodoma: Mtoto wa miaka 6 auawa...
Wakuu,
Tunaelekea mwaka mpya 2025 siku chache zijazo, umejipangaje? Mwaka 2024 ulikuwa wa kufosi, tukafosi na kufosi, baadhi vikanyooka, vingine tukafosi kweli mpaka tukatoboa, vikingine...
Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam.
Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024.
Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya...
Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa .
Sitomuelezea Sana maana huyu ndo...
Habari za muda huu waungwana.....
Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama...
Wakuu, heri ya mwaka mpya 2025.
Ilikuwa usiku wa saa 6 kamili juu ya alama, ndipo nilipata ugeni wa Yesu Kristo.
Amenipa jukumu la kuwafanya watanzania kuwa wanafunzi wake. Hivyo kwa jukumu hilo...
Nikiwa ndani ya mwendo kasi miezi kadhaa iliyopita,abiria mwenzangu anaongea na mtu kwenye simu kuhusiana na watoto ambao wameshindwa kumhudumia mzazi wao apate matibabu
Baada ya kukata simu yule...
Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital.
Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini...
Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa.
Unakatika haipiti hata dakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.