Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Baada ya presha kutoka jamii ya kimataifa, maandamano ya hapa na pale, na maombi huko Sudan sasa Mwanamke aliehukumiwa kuuwawa kwa sababu ya kuushikilia ukristu wake, sasa ataachiwa huru ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Naomba kuwatahadharisha kuhusu sheli za puma wezi sana wa mafuta, niliibiwa mafuta puma ya kijiweni nikakausha leo nimetia mafuta Pma ya Kimara nimeweka lita 10.09 cha...
7 Reactions
58 Replies
7K Views
Mali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
10 Reactions
93 Replies
4K Views
Hello wazee na mashangazi, Kuna tukio lilinitokea Mwaka 2021 mwishon tarehe kama ya Leo sitokaa niisahau. Nilikuwa nimekaa zangu Bar nakunywa castle zangu lite na embassy nimekaa na mhudumu...
32 Reactions
59 Replies
6K Views
Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani? ========= Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena...
25 Reactions
250 Replies
110K Views
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara...
10 Reactions
145 Replies
3K Views
Eti wakuu Jaribu ku-imagine dunia ambayo blacks na Arabs au mmoja kati yao ndio angekuwa super power, maisha yangekuwaje wakuu? Unahisi hali ya uchumi, siasa, usalama wa nchi mojamoja na dunia...
4 Reactions
29 Replies
468 Views
Huu ni wakati wa kununua viwanja na kukamata maeneo Dsm, na nje ya mji Kwa kasi hii ya mji kukuwa ukizubaa baada ya miaka 5 usitarajie kama utakuja kupata eneo tena Kuna maeneo Dsm ndani bado...
32 Reactions
156 Replies
21K Views
Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa...
7 Reactions
128 Replies
2K Views
1. Rangi za mavazi Rangi zinazungumza sana kuelezea mwanaume. Katu usivae rangi ya pinki, yellow, maloon, purple. Pendelea kuvaa rangi nyeupe, blue, red na black 2.usitamke ovyo neno nakupenda...
74 Reactions
130 Replies
7K Views
U hali gani ? matumaini yangu ni kwamba u mzima wa afya.Tukiachana na mambo yanayotokea na vimbwanga vya watu maarufu na wenye vyeo na mamlaka duniani,ninaomba uchukue muda wako kujitathmini wewe...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa...
25 Reactions
98 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya...
32 Reactions
163 Replies
13K Views
Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
36 Reactions
117 Replies
6K Views
Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini...
23 Reactions
160 Replies
3K Views
unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja...
9 Reactions
17 Replies
493 Views
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata...
5 Reactions
17 Replies
356 Views
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death! Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu! Kwamba vifo...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za...
5 Reactions
92 Replies
3K Views
Back
Top Bottom