Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesisitiza kuwa kifo cha mfanyabiashara Daisle Ulomi aliyetoweka katika mazingira yenye utata Desemba 11, 2024 akiwa kazini...
Wakuu Heri ya Mwaka Mpya 2025.
Hii ni thread ya mada nyepesi..
Andika kitu chochote unachofikiri lakini unaogopa kukianzishia uzi...
Mada nyepesi tafadhali...
Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law.
Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao...
Tarehe 31 Desemba ni siku ambayo watu wengi hukusanyika makanisani kumshukuru Mungu. Zifuatazo ni faida 10 za kumshukuru Mungu:
1. Huimarisha Imani: Kumshukuru Mungu hutufundisha kutambua...
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
Hello wana JF,
Kuna siku bhana nimejaribu kuingia hii kupatana Dot Com. Mimi nina mtindo kama nataka kununua kitu Online huwa natest kwanza uaminifu wa wahusika. Nilikuwa nasoma tu thread za humu...
Uongo alimwambia Ukw eli, "Hebu tuoge pamoja, maji ya kisima ni mazuri sana.
Ukweli, akiwa bado na mashaka, alijaribu maji na kugundua kuwa ni mzuri. Basi wakavua wote nguo wakawa uchi na...
Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi?
Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, je ni zipi nyimbo maarufu za kuaga na kukaribisha mwaka? mm nafahamu ule wa Abba group, na ule wa huruma kwa wagonjwa, wadau karibuni mtiririke.
Heshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani...
Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la kemia na biologia mwaka 2020 na G.P.A ya 2.9
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1...
Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium.
Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa.
Tena kwa wazazi...
Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo.
Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa...
Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake
Anasema mume wake kila...
Unapata wapi Ujasiri wa kumwambia Baba yako kuwa Mama yako anatosha asiongeze mwanamke mwingine?
Zamani ilikuwa ngumu sana kuona au kusikia jambo kama hilo. Jamii nzima itakushangaa. Kwa Wamila...
Haijalishi unajishughulisha na kazi gani, lakini hakikisha siku zote unaifanya hiyo kazi katika ubora wa hali ya juu ifanye hiyo kazi au hilo jambo kana kwamba hutalifanya tena.
Misikitini huwa...
Ni jambo la kusikitisha kuona stendi ya Nane Nane, Mbeya, ambayo ni kitovu cha usafiri kwa abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini, ikiwa gizani.
Stendi hii ni chanzo kikubwa cha mapato...
Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake
Anasema mume wake kila...
Ninamshukuru Mungu kufika tarehe ya leo. Nimeona nitumie huu muda kujikumbusha kwa faida ya wote tabia mbalimbali mbaya tunazopaswa kutoingia nazo 2025 endapo tutajaliwa.
1. Unayesumbuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.