Wadau hamjamboni nyote?
Karibuni tujifunze
Ishara hizi za kiaskofu zote zina maana yake; tutaje kwa ufupi, tuwe wakarimu kwa kuzitaja ishara zaidi ya hizo ulizozitaja katika swali:
Kiti cha...
Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya...
Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.. Ukimaliza siku salama na kurudi kibandani kwako unamshukuru Mungu sana!
Ukikaa mahali lazima kwanza uangalie kushoto kulia mbele nyuma na ilibidi juu chini...
Mambo vp wadau wa JF naomba kushare nanyi List ya mikoa 10 ya Tanzania bara inayoongoza Kwa wakazi wake Kujua Kusoma na Kuandika (Literacy Rate) na Mikoa 10 ya Mwisho katika kipengele hicho...
Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama...
Chanzo gazeti la Mwananchi la leo
Nini maoni yako
Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake...
Bwana Yesu Asifiwe. Tusifike mbali maisha ya machimbo ya dhahabu yasikie tu kwa jirani kama unampenda mtoto wako huwezi ruhusu akatafute maisha machimbo sisemi kwamba watu wasiende ila naandika...
Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni...
Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
Merry xmass all jf members
Niseme ukweli. Hili neno waendesha uchumi nimeanza kulisikia wiki hii. Hawa watu ni kina nani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua? Mbona sikuwahi kuwasikia awali? Kwa...
Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika...
Alikuwa na mambo mengi na Vituko vingi tu ila binafsi nakumbuka kila alipokuwa akienda katika Vijiwe vya Masela wa enzi hizo wenyewe Masela walikuwa wanapiga Magoti na wanajisalimisha Kwake na ama...
Kuna ulimbukeni mkubwa wa baadhi ya watu kuendesha umbali mrefu na familia zao kwenye gari ndogo kwenda kusalimia ndugu , jamaa na marafiki huko Mikoani..
Barabarani ajali ni nyingi sana za...
Vijana kadhaa wameniomba nirudie maelezo kuhusiana na maneno “CHRISTMAS” na “X-MAS” maana wanachanganywa na wenzao. Kifupi, maelezo yanayosambazwa kwenye mitandao yetu ni kwamba “Christmas” ni...
Nimeishi vijijini na maporini kwa muda, niliyoyaona yanastaajabisha!
Watu hawazingatii usafi, wanakula matunda bila kuosha, wanakunywa maziwa hata yasiyochemshwa wala hawadhuriki kamwe!
Maji...
Wakuu habari,
Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,
Polisi purukushani na Raia,
Sasa hiko ivi: KUNA...
Chei Chei Waungwana
Muna Habari Yoyote Kuwa Shkuba Yupo Huru ?
Kwa Taarifa zilizonifikia wakati huu kuwa Tajiri Shkuba kamaliza kifungo chake cha miaka minne na sasa yupo huru na yupo nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.