Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.
Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
Siku njema
150: ZABURI
1 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.
2 Msifuni kwa matendo...
Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu
Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
Habari,
Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali...
Nimeona wale vijana wa makachu wamekuja Coco beach.
Wazo langu naishauri wilaya ya ilala pale pangeboreshwa pakawekwa ngazi na retaining wall na pakasafishwa .
Pakiwa promoted ufalme wa...
Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’
Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili...
Heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya
KITABU: ZIJUE BARABARA SIKUKUU ZA NOELI NA PASAKA
Na. Padri Titus Amigu.
Chapa - Benedict publication Ndanda - Peramiho -
Juni 2000.
KRISMASI: Pg...
Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v
1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka.
2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia...
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini...
TUZITUNZE TUNU ZA UPENDO, UMOJA NA AMANI: BASHUNGWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuishi kwa kutunza tunu za upendo, umoja, amani na...
Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini...
Jengo la biashara linalouza magodoro lililopo eneo la Mtaa wa Nyamwezi na Kipata katika Soko la Kimataifa la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto Jioni hii. Chanzo cha moto huo bado...
Nataka niwasaidie wana-JF
Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs .
Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo...
Wadau hamjamboni nyote?
Hawali nguruwe
Hawakosi kuhudhuria sabato
Mengineyo yasiyofaa wanaendelea nayo kila siku
Why?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Siku njema
Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.