Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu. Mungu ni nguvu, Mungu ni energy. Mungu amesambaa katika kila kona unayoijua. Roho zilizo ndani ya nafsi na miili yetu ni sehemu tu ya Mungu. Ndiyo maana hata...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba linafanya uchunguzi wa vifo vya watu wawili ambao walifariki dunia wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Ali Khamis Camp Vitongoji Chake Chake Pemba...
Wakuu mwenye anajua software au app nzuri ya kufanyia aptitude test atuandikie hapo chini au anayejua chochote kuhusu hio test atuambie hapo chini kwa manufaa ya vijana wanaowiwa kuomba BIG 4 hapo...
Mtandao wenu mmeufanya kuwa wa hovyo. Hakuna kutoa pesa iwe benki au kwenu wenyewe. Hamtoi taarifa kuwa kuna changamoto. Mbona mnafanya dunia kuwa ya kizamani sana?
Fungulia tu hizo redio zao usikie habari za makongamano na ibada za kubariki,kukomboa, kutakasa n.k mwaka mpya ujao. Ukiwa mpumbavu fulani unajipeleka halafu unaambiwa toa sadaka au panda mbegu...
Efm iko poa kwa asilimia kubwa. The production, The individuals and The deliverance, kwa kweli wanahitaji pongezi.
Ila kwa upande mwingine Tv yao bado sana. Na imekaa hivi kwa muda mrefu sana...
Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe...
🐺 Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake.
Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous)...
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini.
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa...
Wasambazaji/wauzaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani.
Population ya ukristo nchini China
-According to a 2023 Pew Research Center analysis, about 2% of Chinese adults identify as...
Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)?
Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii...
Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa.
1. Alimpangisha muuza bucha
2. umeme ukakatika, nyama za bucha...
Unafanya muamala wa Milioni Moja kwa mfano. Kuna makato unakatwa kama ada ya huduma. Ile hela haimfikii uliemtumia kwa tatizo la mtandao. Badae mtandao unakaa sawa Wanakurudishia Milioni Moja...
Viongozi wa EFM, kipindi chenu kinachorushwa kila siku saa moja jioni, cha jioni ya Leo, ni kibaya, sana, kimejaa maudhui ya kingono ngono, lugha zisizo na staha.
Kipindi cha Jana, tarehe...
Leo nilikuwa naelekea Kigamboni kupitia daraja la Nyerere, baada ya kuvuka nilipita ile njia ya kushoto inayopitia jeshini, kabla sijaingia kwenye kile kipande cha lami hapo katikati kulikuwa na...
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.