Kwema Wakuu!
Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo;
1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa
Mkoa wa...
MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE
"Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland...
Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi...
👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa...
Haya ni matukio makubwa yaliyotokea Tanzania mwaka 2024
Vifo vya viongozi wakuu: Tanzania ilimpoteza Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (Februari 29), na Waziri Mkuu wa zamani Edward...
Top 100 richest people in the world (as of 21 December 2024):
1. 🇺🇸 Elon Musk, $444B
2. 🇺🇸 Jeff Bezos, $244B
3. 🇺🇸 Mark Zuckerberg, $207B
4. 🇺🇸 Larry Ellison, $190B
5. 🇫🇷 Bernard Arnault, $176B...
Kwenye jamii zetu au huku mitaanj kuna story zinasema,, Mume au Mwenza wa kiume akienda kucheat(kuchepuka) hali ya kuwa Mkewe au Mpenziwe ni mjamzito anaweza kusababisha matatizo kwa mtoto au mama...
SOMO: SIKUKUU YA CHRISTMASS NI MAPOKEO YA WANADAMU WALA SIO MAAGIZO YA MUNGU
Wakolosai 2:8
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya...
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata...
Mzuka Wana jamvi.
Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili
NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita...
1. Kuzaliwa kwa Yesu ni habari njema ya furaha kuu(Luka 2:10-11).
Malaika walipoleta habari ya kuzaliwa kwa Yesu walisema hiyo ni habari ya FURAHA KUU. Na kwamba furaha hii kuu itakuwa kwa watu...
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama...
Hii elimu ya usalama barabarani mbona kama inatolewa kwa madereva, vipi kuhusu sisi tunaoendesha miguu yetu. Mana tunakufa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzielewi wala
Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba...
Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa...
Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo?
Huu ni...
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa
Wananchi wanapambana kujenga na...
Wakuu,
Wakati tunaenda kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine ni vizuri tukaangalia nyuma na kujifunza kwa waliyopita. Moja ya kitu nilichoona hiki, watu wengi tumebeba trauma za utotoni na...
Wakuu naombeni kujua faida/umuhimu wa water dispenser
Nimekuwa nikiziona Tu.
Mtu friji analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser.
Nini umuhimu wa water dispenser?
Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume.
WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.