Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia.
January inapofika...
Mnaokwenda kuombewa kwanza hamna uhusiano mzuri na Mungu BABA YENU. Hailezeki hata kwa maisha ya kibinadamu una baba yako mzazi huwezi kumuendea kumuomba kitu mpaka utumie kuwadi fulani...
Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR).
Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo...
Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024;
1. Ruvuma ulitumia tani 100,000,
2. Njombe tani 75,358,
3. Mbeya tani 75,252,
4. Songwe tani 71,230
5. Iringa tani 44,214.
Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui...
Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imefanya maendeleo makubwa katika sekta ya usafiri kupitia ujenzi wa Reli ya Kiwango cha Kati (SGR). Ujenzi huu umekuwa na manufaa makubwa kwa uchumi wa...
Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa.
Itapendeza kama...
Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida.
Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti...
Ni lini serikali itaanza ujenzi wa SGR ya kwenda Moshi na Arusha?
Hakuna kanda inaongoza kwa kua na wasafiri na watalii kama kanda ya kaskazini.
Sasa ni lini serikali yetu itaanza ujenzi wa...
wasaalam,
Ofiisi za Nhif TANGA mna uzembe uliopitiliza maana haiwezekani watu waombe vitambulisho vya Bima ya Afya kuanzia Novemba 2023 hadi leo havijatengenezwa, halafu confortably mnajibu eti...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika...
Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa...
Hellow nipo DAR ES salaam, Tanzania ninaomba Msaada (Guidance) WA kupata documents zinazokubalika kufanya verification ya residential address kwenye account ya payoneer,
Nimejaribu bank statement...
Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!!
Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali...
Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka.
Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!!
Mnyika umekaa kimya!!kulikoni?
Au ndio tunagawana mbao...
Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA...
Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.
👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu...
Nawasalimu ninyi nyote, Mungu mkubwa nipo salama.
Nipo hapa leo kuwapa experience yangu niloipata kutoka kwenye kulelewa na mama wa kambo (step mother)
1. Ukiwa na akili darasani KUSHINDA watoto...
Wana Jamiiforums
Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh?
Tunapoelekea kuumaliza Mwaka huu wa 2024 na kuelekea Mwaka mwingine siku chache zijazo. Nina maneno machache ya kuwaambia Familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.