Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo.
Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari?
Pichani ni Water...
Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au...
Merry Christmas 🎄
Lissu big no. Ana mihemko.hataweza kudeal na mambo makubwa.itakuwa vurugu
Mbowe nae big noo.miaka zaidi ya 20 jamani apumzike.
John Heche.kwanza handsome, bonge la genius, ana...
Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa.
Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo...
Habari jamvini.
Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200.
Fact 2...
Kwa nini kuchoshwa na usahihi?
Mara nyingi kuna watu ambao huwa na msimamo wa mambo wanayoyaamini.
Mfano: Kuna binti mmoja alikuwa anasoma katika shule ya upili(secondary) na lengo lake lilikuwa...
Nitandao yote inakataa kununua umeme, hili bila shaka ni Tatizo la Tanesco yenyewe.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba maofisa wengi wa Tehama wameenda makwao kula sikukuu, hii ni aibu.
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Mwaka huu ulikuwa mwaka niliojifunza mengi pia watu wa jf ni watu wema sana wengio wao wamenifundisha vitu vingii sana sina...
Ndoa za saizi kiujumla kwa asilimia kubwa sio kama vita, ila ni vita. kuingia ni rahisi ila kutoka kuna wakati mwingine lazima mmoja afe,
Na kwa hii imetokana kwamba vijana wengi huwa wanaoa...
Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan...
FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake...
Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅...
Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati.
Matendo ya kimaskini ni...
Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena.
Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma.
Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM
Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi...
Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake.
Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini.
Yaani basi tu sijasoma IT...
Msisahau.
Mwaka mpya2025, lipo jukumu muhimu na la maana sana la kutekeleza kwa maslahi mapana na ustawi wa chadema. Nalo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuukataa katu katu...
Habari wakuu,
Nimepata kuishi mikoa kama 8 hivi hapa Tanzania kwa kanda tofauti tofauti
Lakini hali imekuwa tofauti upande wa Mbeya wakati fulani nilikuwa nawalaumu marafiki zangu kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.