Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa...
Kanuni nzuri ya maisha, ukimuona mtu hafai/ kuna dalili za kugombana Kati yako wewe na yeye usigombanenaye tafuta kila njia za kumkwepa na kumuwekea mipaka.
Siku zote kabla ya ugomvi au kukosana...
Baada ya Rostam,Awadh wa Amsons ni zamu ya kigogo mwingine kuteka Kenya.
https://x.com/BD_Africa/status/1872570598280610155?t=ehBBjq-Gz4woc21awkOxYA&s=19
My Take
Sera za Mama Samia za kufungua...
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.
Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na...
https://feminahip.or.tz/
FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
Wakuu nimeondoa thread ili kuficha baadhi ya taarifa, nilipanick nikaandika vitu vingi ambavyo baadhi ya members humu nafahamiana nao in person wasiconnect some ..
I hope itakua sawa, nilipanick tu.
Waungwana hivi ni viwanja vyote ambavyo vina changamoto ya vyoo au ni Sokoine Stadium tu hapa Mbeya.
Maana huu uwanja vyoo vyake ni changamoto kubwa, ni vichafu balaa na hakuna maji kabisa...
Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa...
Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa...
1. Hujaolewa tu?
2. Kwanini Huna Watoto?
3. Utazaa lini, umri unaenda!
4. Unafanya kazi wapi?
5. Kwanini Umenenepa/Umekonda?
Watu wanapitia mambo mengi magumu ambayo huna taarifa nayo wala...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Pamoja na wivu wenu Petro Mtume mwaminifu wa Kristo
Amezikwa Vatican, atafufuliwa na atamlaki mawinguni Kristo aliye Bwana na Mwokozi...
Aisee mjini uje na akili tu. Pia usiamini 100% hii mitandao ya jamii. Watu ni Wasanii Sana.
Ile helikopta (wenyewe waliita private jet) kumbe ni ya kukodi? Huku media zikiripoti tofauti. Stukeni...
Wakuu habari zenu.
Hivi ni kitu gani kila ukifanya unasema hii leo ni mara ya mwisho lakini unajikuta unafanya tena pasipo kutarajia. Kwangu mimi ni kupanda IT zile gari za In transit...
1. Kwenye sekta ya uokozi bado sana. Majanga hatujayapa kipaumbele zaidi ya ununuzi wa Magari ya kifahari. (MV Bukoba, Ajali ya Treni Dodoma, Tetemeko Bukoba, COVID, Ajali precision air, jengo...
Hii taasisi Janabi ataipokea ikiwa imechoka sana. Toka tangazo la uteuzi wake kuna kila dalili ya upigaji unaendelea kwa kasi ya mwanga. Mtandao kukatika ovyo imekuwa ni kawaida hasa mida ya...
Huko wanawake hawasubirii wanaume wawajengee nyumba Bali wanajenga wao .
Hapo ni kuoana ,ukinasa do it at your own risk.
1. Mtwara
2. Lindi
3. Iringa
4. Dar
5. Arusha
6. Morogoro
7. Pwani
8...
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.