Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mfanyabiashara mkongwe wa Japan na Mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya Magari ya Suzuki Motor Bw. Osamu Suzuki (94), amefariki dunia. Suzuki aliyeiongoza Kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 40...
7 Reactions
16 Replies
570 Views
Ni heri ukose vyote lakini usikose akili , maskini anapumbazwa na vitu vidogo vidogo tu maana akili yake haiwezi kutazama hata umbali wa hekari 5 mbele. Maskini anasifia wema wa mbunge kwakuwa...
6 Reactions
14 Replies
432 Views
Kama watu elimu yao ni ndogo,kama watu wakivuta bangi,basi, inevitably wataleta fujo na Polisi ni kazi yao kuhakikisha kwamba inakuwepo law and order. Kwa sababu ikifika mahali kwamba watu wanaona...
2 Reactions
3 Replies
146 Views
Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Faini mbalimbali (ikiwemo makosa ya barabaran,) zitumike kununua Madawa hospital za Umma na sio kulipana posho
1 Reactions
6 Replies
272 Views
Fahamu namna unavyoweza kutumia umeme wako wa mwilini kumtetemesha mtu mwingine, Kuna wanamazingaombwe wengi,wanaojua vizuri nini cha kufanya kujikusanyia chaji nyingi kwa muda mfupi. Kikubwa...
2 Reactions
5 Replies
348 Views
Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari NHIF, Mimi naomba kutoa malalaniko yangu kwa hizi shule za msingi ambazo mlipeleka uratibu wa Bima Shuleni (Afya Toto Card)... tuchukulie mashuleni. Ila kinachonisikitisha ni jinsi hizi...
0 Reactions
3 Replies
315 Views
Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex Nikiomba sex kwake kwa...
24 Reactions
75 Replies
2K Views
Wakuu, Binafsi naona hizo Brand nilizotaja hapo zimefail kubadilisha majina na itachukua miaka mingi watu kuendelea kutumia old names yaani Twitter na Tigo instead of X or Yas. Ni brand gani...
0 Reactions
3 Replies
294 Views
Habari, Hivi kwani ni lazima mtu kulia hadi uso uchakae unapofiwa na mtu wako wa karibu (wazazi ,mwenza,mtoto, ndugu)? Au ni lazima kulia mbele za watu wajue umelia? Kwanini watu wakienda...
11 Reactions
44 Replies
773 Views
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha. Katika enzi ya habari...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Ninalaani sana ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Jambo la kujifunza wazazi wekeni umakini kwa wasaidizi wenu majumbani. Soma Pia: Utata wa kifo cha mtoto wa kufikia wa Chief Godlove, inakuwaje...
2 Reactions
5 Replies
385 Views
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri. Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Mimi kama mkazi wa Jiji la Mbeya kuna kitu sikielewi kutoka kwa Viongozi wa Jiji hasa Idara ya Ardhi na Watu wa Mazingira wa NEMC. Huku Mbeya katika Kata ya Nsalaga, Bonde la Uyole, Uongozi wa...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Moderator Naomba kichwa cha habari kisomeke hivi👇👇👇👇 TAREHE 17 SEPTEMBER 2017, MBOWE ALIFANYA KOSA KUBWA SANA DHIDI YA UNIVERSE. ...
18 Reactions
119 Replies
3K Views
Hivi ni nani alitoa wazo la kupafanya Stendi ya Daladala ya Kabwe kila ikifika jioni kupageuza Soko? Moja hili eneo ni chafu kupita maelezo na Wafanyabiashara wamejianzishia Dampo hapohapo...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Dunia uwanja wa fujo, Dunia tambara bovu, Waswahili walisema. Kuna muda nafsi inachoka kabisa na harakati au mtindo wa maisha ulionao, unatamani kupiga chini kila kitu na kuanza upya kabisa ukiwa...
2 Reactions
3 Replies
298 Views
Wakuu, Kumekuwa na madai ya uongo na kupotosha hapa kwa muda mrefu hapa kuwa Lwakatare ndiye alisimamia ndoa yangu. madai haya yalitolewa kwa mara ya kwanza na Tundu Lissu hadharani na tangu hapo...
6 Reactions
158 Replies
15K Views
Back
Top Bottom