Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari Wakuu? Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12. Je, huko kwenu ni kiasi gani? Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa...
11 Reactions
83 Replies
4K Views
https://youtu.be/B0GGbZeGQOw?si=uxpwwmB9w-ZPQ8s4
1 Reactions
2 Replies
121 Views
Guys, mimi nina swali. Kwa nn hakuna application za kuchangiana pesa kwa wahitaji kwa 80% of the world countries na 💯 ya African countries km ilivyokua gofundme?
2 Reactions
1 Replies
104 Views
Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi...
1 Reactions
3 Replies
182 Views
ENG. YAZID MABALA, MDAU WA MAENDELEO ANAYELETA CHACHU NDANI YA MWIBARA - BUNDA - MARA Eng. Yazid Mabala ambaye ni Mdau wa Maendeleo aliyejikita kuleta chachu ya maendeleo ndani ya Mwibara, Bunda...
2 Reactions
13 Replies
340 Views
Wananchi wa Nkinga wilaya ya Igunga mkoani Tabora wamehimizwa kufika katika Kliniki ya Ardhi wilayani humo ili kupata Hati Miliki za ardhi zao hatua inayowapunguzia umbali na muda wa kufuata hati...
1 Reactions
2 Replies
127 Views
Habari zenu wakuu, Nauliza ni minada ama magulio yapi hapa Tanzania ipo vizuri ki biashara yaani ina amsha amsha. Asilimia kubwa kila mkoa ina minada yake, je ni mkoa upi minada yake huwa iko hot...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu...
2 Reactions
3 Replies
209 Views
Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka...
2 Reactions
6 Replies
186 Views
Mchungaji mmoja John Chida wa Kanisa la Heri Huruma aliyekuwa akiishi eneo la Isakalilo, alifariki Dunia, Oktoba 2024 akiwa nyumbani kwake. Hadi sasa, tunapokaribia katikati ya Desemba, bado...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani...
3 Reactions
9 Replies
338 Views
Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema...
4 Reactions
14 Replies
403 Views
1. Nigeria 5 2. Sudan 8 3. Cameroon 9 4. DR Congo 13 5. Ethiopia 20 6. Somalia 21 7. Mali...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Siku hizi kumekuwa na uwandikaji mwingi wa machapisho ambayo hayana/umuhimu maana kiasi yanapoteza ladha ya kukaa jukwaani
8 Reactions
44 Replies
798 Views
Hivi ni kweli wazee wetu wa kale walishindwa kuweka misingi imara kuanzia ngazi ya familia Hadi kitaifa.. Kwanini kwenye Jamii zetu nyingi za kiafrika kila mtoto anayezaliwa ndiye anatakiwa...
1 Reactions
0 Replies
97 Views
Mitandao ya simu pamoja na kurahisisha mawasiliano imekuwa njia rahisi sana ya kutumia na kupokea pesa, na kukiwa na jambo la dharula basi muamala ya simu inatoa suluhu ya haraka sana. Kwangu...
4 Reactions
7 Replies
400 Views
Tanzania imeendelea kuburuzwa na Kenya,Uganda na Rwanda katika kuvutia wanafunzi wa Mataifa mengine kuja kusoma kwenye Vyuo Vikuu vyake. Unadhani sababu kubwa ni ipi ? Je Lugha mfano Kiswaglishi...
2 Reactions
5 Replies
166 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nakumbuka enzi hizo nikiwa mdogo miaka ya 2000+ nilikuwa napenda sana kusikiliza BBC yaani nilikuwa sipitwi. Moja kati ya habari nazozikumbuka ni watu kuvaa...
2 Reactions
8 Replies
352 Views
Tangu jumatatu mpaka muda huu kingamuzi cha Star times kinaonesha channels zote for free (buree!!) hata kama hujalipia unaona tu. Hii sio Mara ya kwanza kwa Star times kuachia chaneli zote bure...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Back
Top Bottom