Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki.
Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template...
Enh, hawa wote wamekufankwa hiyo issue
Paul Allen
Sheldon Adelson
Zhao Ning
Dietrich Mateschitz
Steve Jobs
David Koch
Kirk Kerkorian
Jon Huntsman Sr.
Richard Pratt
James Simons
Audrey Hepburn...
Halafu unakuta mtu anae toa hoja hiyo anajiita msomi. Mnaendaga shule kukariri eti eeh?
Mtu alie ongoza Chama kwa muda mrefu tena kwa mafanikio makubwa si ndio anatakiwa kuendelea kupewa nafasi...
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya...
Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine.
Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa...
Utangulizi
Kitovu ni ishara ya nje ambayo inaonyesha muunganiko wa mtoto na hasili yake.
Ezekieli 16:3-4
[3]useme, Bwana MUNGU auambia Yerusalemu hivi; Asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka...
Kurushwa na umeme ni dhana hakuna kitu kama hicho kisayansi ,ukweli ni huu hapa.
Kuna kauli umesha wahi zisikia,mtu akisema amerushwa na umeme si ndiyo..??
Mtu huyo anaweza shuhudia kabisa kuwa...
Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii
Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi...
Najiuliza na kujiuliza tena na tena. TASAC palikuwa na kitengo cha Clearing and Forwarding ambapo hawa kazi yao ilikuwa ni kusimama kama serikali kufanya clearance ya kila kitu kutoka hapa nchini...
Mtoto wa mfanyabiashara maarufu jijini Dodoma anayejulikana kwa jina la Jojo, Graison Kanyenye (6), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani wakati mama yake akiwa matembezini usiku wa...
Habari viongozi kijana wenu na shida moja.
Mimi ni kijana Mtanzania ,shida yangu ni moja, mimi naitwa Elieth jina la kuzaliwa nalo lakini tangu nakua hilo jina walikuwa wakiniambia ni la kike...
Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu.
👇🏾
Atheists
God non believers
And religionist.
Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo...
Habari za muda huu wadau .
Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja .
Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi...
📖Mhadhara (66)✍️
Muammar Gaddafi (aliyekuwa Rais wa Libya) alizaliwa Juni 7, 1942, aliuawa Oktoba 20, 2011. Kama kawaida binadamu ukifariki watu ndo wanaanza kukumbuka mema na mazuri yako.
Baada...
Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi...
Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati...
Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi...
Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.