Sijajua wanajikuta wao ni kina nani..
Mtu unafuatilia bima zaidi ya miezi mitatu na majibu yao ni simple tu..
Tutafuatilia na ukifika ofisini wanakupa namba ya ofisi ambayo ni 0734163431 ili...
Wakuu habari zenu
Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi
Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake.
Mimi ni middle...
Wilaya ya Mvomero ni Wilaya yenye mito mingi sana.Hata hivyo Wilaya hii bado imeendelea kuwa na changamoto kubwa ya maji.Wananchi waliio wengi bado wanatumia visima vya wazi na mabwawa ambayo si...
Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda...
Tamko rasmi la kanisa la TAG kuhusiana na kuondoka kwa Mchungaji Moses Magembe kujitenga na kanisa hilo hili hapa
https://youtu.be/Uo4iQW1fcS0?si=VqohaoaRsz3wcAQi
Habari,
Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya...
Msichana ambaye hana nauli ya kwenda kumtembelea mtu ambaye anadai kuwa anampenda au mpenzi wake.
Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utaleta...
Wadau, kumbe kuna watu wanamiliki vyombo mbalimbali vya kiteknolojia kama simu jana na komputa ila bado wamekuwa na ufinyu wa kujua taarifa mbalimbali kupitia vifaa vyao.
Mfano siku ya jana...
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la...
Wakati Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiendelea kutoa vibali vya daladala kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea eneo la Kawe lililopo ndani ya Jiji hilo lakini...
Mwandishi wa habari mwakilishi wa mkoa wa Ruvuma kutoka Azam media, anaandika utumbo Kama huu kwenye mitandao na kuacha masuala ya msingi Ni aibu sana. Anaifurahia laki moja na kusahau taaluma...
Nakumbuka mwaka 2022 mwezi wa nne, mama mjamzito baada ya kushindwa kujifungua vizuri kwenye hospitali ya wilaya kwasababu ya complications za ujauzito wake kapewa rufaa kuenda hospitali nyingine...
Mageti ya scanning kwaajili ya kadi ni bora zaidi kuliko kutumia paper tickets?
Nataka nijue changamoto za Mwendokasi na nini kinapelekea kuwepo kwa huduma mbili kwa wakati mmoja, Paper tickets...
Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona...
Mchungaji wa Kanisa la Agule Pentecostal Assemblies of God (PAG), Wilaya ya Serere, Uganda, John Michael Ekamu (52) amefariki Dunia baada ya kushambuliwa na muumini anayedaiwa kuwa na mapepo...
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali
Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Ulipojielewa, uligundua kuwa jina ulilopewa na wazazi wako ni KITUNGUU, na jina la baba yako ni KIMEIVA MAGANGA. Kwa hiyo, majina yako kamili ni KITUNGUU KIMEIVA MAGANGA.
Ikiwa huyapendi hayo...
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa
Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.