Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kichwa cha habari chahusika Dagaa, nyanya chungu nyingii, ugali wa Dona na maji chupa kubwa! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Sabato njema
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza...
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi. Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni...
1 Reactions
0 Replies
201 Views
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate...
1 Reactions
4 Replies
219 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa...
13 Reactions
150 Replies
4K Views
Anonymous (633a)
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo. Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari...
3 Reactions
14 Replies
917 Views
Kuna kanisa lipo Njiro Arusha fungulia redio yao usikilize makelele ya huyo mhubiri. Huo ni ukristo au ulevi????
5 Reactions
11 Replies
553 Views
Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu. Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu. Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
Kama mtu ambaye si raia wa Afrika Kusini, nimewahi kuwashutumu Waafrika Kusini kila mara kwenye harakati zao za kuwaondoa wageni lakini sasa nimekua kifikra na kuelewa kwa nini si vibaya kwao...
4 Reactions
8 Replies
597 Views
Utata umegubika tukio la mauaji ya Graison Kenyenye (6), mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa jijini Dodoma, Zainab Shaban maarufu Jojo. Graison aliuawa usiku wa kuamkia juzi, wakati mama yake...
8 Reactions
58 Replies
8K Views
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli. Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Watu wanawaleta wagonjwa wa akili makanisani harafu wanasema Wana mapepo. Matokeo yake ndio hayo na Pastor Kwa kutojielewa na kutaka aonekane anakubalika Kwa watu wake akapotezea kwenda Hospitali...
6 Reactions
24 Replies
841 Views
Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na...
7 Reactions
12 Replies
376 Views
Bado siku chache tu kabla mwaka wa kufosi (2024) kuisha je, Kuna ulichofosi au ndo hayatuhusu🤔🤔?
3 Reactions
2 Replies
147 Views
Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
49 Reactions
140 Replies
6K Views
Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli" Mengine nawaachia
6 Reactions
15 Replies
568 Views
Back
Top Bottom