Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini...
Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia.
Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira...
Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii...
Herini ya sikukuu ya Noeli, kwangu naona ilishakuwa mbaya kwa mfululizo wa yanayoendelea na hili lililonifanya niandike hapa muda huu.
Kwanza nianze kwa kusema sina utulivu kabisa usingizi...
Mzuka wanajamvi!
Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa...
Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri
1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet
Ati...
MMILIKI wa Kituo cha Cambiasso Sports Academy, Kambi Zuberi Seif na aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultan, wameieleza mahakama kuwa walikiri kujihusisha na biashara ya dawa...
Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha...
Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya.
Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa...
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa...
Machinga wapo kila pahala
Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road
Hizi ni sehemu hatarishi
Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo...
Habari,
Kwa yeyote anaeifahamu kampuni ya kuchukua tenda na kuingia ubia na baadhi ya makampuni hapa nchini kwa lengo la kuwa recruit na kuwapatia hayo makampuni wafanyakazi yakiwemo Tigo...
Leo katika pitapita zangu kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nimejionea namna ambavyo Jiji hili lilivyo chafu.
Viroba vya takataka vimerundikwa kila mahali katika mitaa ya Jiji hili.
Wenye...
kamatunavyo jua wakiristo wanadai yesu ni mungu naleo inasemekana ndio siku aliozaliwa yesu
naleo wakiristo wanasherehekea barth day ya yesu
mimi sinamengi yakusema zaidi yakuwatakia herí ya...
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.
Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote
Askofu Malasusa amemtangazia msamaha
Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa...
USHUHUDA WA PASTOR CHIDUBEM OKWU ALIYEENDA MARINE KINGDOM KUJIPATIA NGUVU KUTOKA KATIKA FALME ZA GIZA ILI AWE MTENDA MIUJIZA MIKUBWA KANISANI KWAKE NA APATE WATU WENGI.
Maana ya huyu mchungaji...
Habari za leo wakuu
Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita
Na namna ya kuiset
Nawasilisha
Merry christmass
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.