Beatrice anakiri kuna maroho wachafu walikuwa wanawatawala.Maroho haya yaliwaambia ukristo siyo dini sahihi.Beatrice anakiri sasa ameokoka na kumjua Yesu na anamlilia Dada yake Martha kuwa...
• Kukutana na familia na marafiki: Watu mara nyingi hukusanyika na wapendwa wao kushiriki chakula, kubadilishana zawadi, na kufurahia kuwa pamoja.
• Kupamba: Watu hupamba nyumba zao kwa miti ya...
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa.
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua...
Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua...
Mimi ni mdau wa kilimo na Ufugaji na ninapenda kutoka moyoni kabisa.
Katika Hali inayonipa maswali mengi ni hili swala ufugaji wa Ndege kama Tausi Mbuni na Kasuku.
Huwa napenda kujifunza bila...
Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka...
Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali.
Maelezo ya kamanda...
SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA.
Na Robert Heriel
Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha.
Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka...
Jamani hope leo mmeskia ajali ya coster na lori iliyouwa watu nane
Kwa bahati mbaya au nzuri leo ndio ilikuwa siku yangu ya kwanza kufanya safari ndefu tena usiku na ndio mara ya kwanza kuona...
Heri ya sikukuu ya mwaka mpya, Wanajukwaa hili.
Penye ukweli uongo hujitenga. Hili naomba lieleweke vema.
Miongoni mwa low minded people in Africa ni jamii za Watanzania.
Mpaka kufikia umri huu...
Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje?
Maana itakuwa sio fair...
Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya.
Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na mabadiliko na maendeleo ya sayansi na teknolojia tubadilishe pia sera zetu kwa vitu vya maendeleo
Miaka ya leo miaka kumi na nane ni mzee...
Hii inaweza kumtokea mtu yoyote haijalishi unahusika Moja kwa Moja au lah!
Mimi nakumbuka Kuna siku rafiki yangu akuja na mteja anauza dsk 1tb kwa 20 tu basi kwasababu nilimwambiaga nahitaji hivo...
Kuna watu wanajiuliza kwanini Wakristo wanasherehekea Christmas tarehe 25 Desemba? Imeandikwa wapi? Na wengine wanaenda mbali kwa kusema kusherehekea Christmas tarehe 25 Desemba ni ibada ya...
Tajiri Said Lugumi amewekeza Mabillion ya fedha kusaidia watoto yatima, asiyeunga mkono juhudi zake hana tofauti na muuwaji wa watoto yatima
Tajiti huyu amewezeka fedha nyingi kujenga vituo vya...
Habari wakuu naomb kujuzwa kuhusu hili jambo kwa wenye ujuzi wa masuala haya ya genetics ....(lengo kujuzwa sio ubaguzi kama Kuna jina lingine sahihi zaidi nilipaswa nitumie mtanisamehe)
Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.