Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba...
Country
Estimated availability date
Algeria
No planned launch date
Angola
Delayed to 2025
Benin
Available
Botswana
Available — added in 2024
Burkina Faso
Delayed to 2025
Burundi...
Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata...
Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na...
It is a pity kuwa wazee hawa walikuwa na mahali pa kupata advance ya pensheni yao sasa mmeiondoa na kubakia salary advance. Kwanini salary advance imebaki na kuondoa pensheni advance? kwanini...
Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa.
Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na...
Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii...
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo...
Wakuu,
Ila tuko na viongozi wapumbavu, mlishindwa kuwatoza fine kulingana na makosa waliyofanya, kutupa taka, sijui mavazi si tayari mna utaratibu kwenye mambo hayo?
Mmeona vijana wanafaidi sana...
Mambo yanayo zuia mafanikio kwenye maisha Tanzania ni mengi sana na ukiwachunguza sana watu waliofanikiwa utagundua kuwa kuna tabia au mambo kadhaa yanayoshabihiana kati yao.
Pia ukiwachunguza...
Nihilism ni imani au falsafa inayodai kwamba maisha hayana maana, thamani, au lengo lolote la msingi. Wanaofuata mtazamo huu wanakataa mambo kama maadili ya kidini, kanuni za kijamii, au dhana za...
Ewe dereva wa gari ndogo unayetumia Mandela Road. Chukua tahadhari Sana na malori mara kadhaa nimekoswa koswa na hayo malori pamoja na kuwa Nilikua kwenye 'lane' sahihi.
NB: ukiweza tumia njia...
Wanabodi,
Declaration of Interest
Bandiko hili sio la kujidai na kuonyeshea Wasukuma ni matajiri sana, na tunapanda sana ndege, bali ingefanywa sensa ya ni kabila gani linaloongoza kwa kukwea...
Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe
1. Kigoma hakuna foleni barabarani...
Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa...
Je hii inaingia akilini?
Sijaona na sitoona faida ya pombe kabisa. Nimekaa na kutafakari kwa kina kwamba yani mimi ninunue pombe haswa hizi kali niharibu maini na figo ili nimtajirishe mmiliki na...
BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA
Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya...
Tunaweza kusema Dolla ya Marekani umeshuka thamani lakini pia Shilingi ya Tanzania imeimarika.
Katika hali zote, zipo sababu nyuma yake ambazo zimepelekea hali hii.
Katika miezi michache
nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.