Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu Kwa wale wenzangu wenye ndoto za...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake. Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni...
5 Reactions
5 Replies
451 Views
Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho...
24 Reactions
288 Replies
5K Views
samahani wadau naomba kujuzwa kuhusu pikpiki ipi nzuri kwenye biashara ya bodaboda kati ya hizi hapa;- 1. Sanlg 2. Tvs 3. Boxer Nasubiri kutoka kwenu jamani asanteh.
1 Reactions
3 Replies
473 Views
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake...
7 Reactions
129 Replies
7K Views
Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema...
6 Reactions
104 Replies
7K Views
Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la...
16 Reactions
235 Replies
12K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe kama mada inavyosema ni tukio gani ulifanya kwenye utoto wako hata familia yako haijui mpaka leo. Mimi naanza nakumbuka kipindi nipo darasa la...
9 Reactions
14 Replies
775 Views
Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
SEHEMU YOYOTE ÀMBAYO UNAWEZA KUFUKUZWA MUDA WOWOTE, USIWEKEZE ÑGUVU NYINGI HAPO. SEHEMU HIZÔ NI KAMA IFUATAVYO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kama Kichwa kinavyoeleza. Sehemu yoyote na...
58 Reactions
147 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu, Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu suala la usomaji wa vitabu hapa nchini kwetu Tanzania. Inaonekana kama watu wengi, hasa vijana, hawachukui muda kusoma vitabu vya...
8 Reactions
68 Replies
1K Views
Hakuna ubishi heshima ya kanisa la pentecoste na hapa nikiizungumzia TAG kwasasa imepotea sana . Ile heshima ya wokovu na heshima ya Kristo ambayo kanisa hili lilibeba hapo zaman kwasasa inazidi...
17 Reactions
168 Replies
6K Views
Kwema wakuu? Binafsi nilikulia kwenye familia ambayo wazazi wanazingatia sana kuhusu watoto wao, nikimaanisha ni watu wenye kufuatilia Kwa ukaribu sana mienendo yetu, sio watu waliotuachaniza...
13 Reactions
37 Replies
1K Views
Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za...
1 Reactions
2 Replies
300 Views
Habari wakuu, Kuna app nyingi ziko online ambazo mtu unaweza kufanya survey zao bila kuombwa pesa yoyote ni bando lako tu huku wewe ukilipwa pesa kidogo kidogo na mwisho wa siku unaweza...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Salaam. Shalom! Ujio wa mtu huyu duniani aliyetokea Mbinguni Kisha kuuvaa mwili wa mwanadamu, akaingia ndani ya tumbo la mwanamke Mariam bikra Kisha akazaliwa, umeendelea kuwa utata na...
12 Reactions
160 Replies
3K Views
Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada...
14 Reactions
98 Replies
7K Views
Sina mengi kwenye hizi tarehe aisee je NMB mshahara umeingizwa tayari? Au ndiyo bila bila?
3 Reactions
7 Replies
359 Views
Tarehe 19/12/2024 abiria wa bus la Frester VIP T794EHR seat No 40 toka kahama to dar kakamatwa Misigiri Singida anasafirisha KICHWA CHA MTU (mtoto) kwenye begi. Kilikua kinatoa harufu mbaya kwenye...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la...
15 Reactions
118 Replies
9K Views
Back
Top Bottom