Habari zenu wanaJF wenzangu,
Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada...
HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024
Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb)...
Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta...
Habarini,
Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi.
Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi...
Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana.
Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa...
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner, begi moja likaonekana lina tatizo. Likaekwa pembeni, nikaitwa...
Je wajua?
Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE!
Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali...
Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za...
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu...
Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi...
Habarini wana jamvi poleni na swaum lakini pia mfungo mwema kwa wenzetu waislam. Nimependelea nije na mkasa huu hususani katika kipindi hiki cha mfungo kwani ni funzo tosha katika maisha ya kila...
Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile.
Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi.
Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki...
Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii.
Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa...
Nimeshangaa sana leo wakati naenda kutoa sadaka.
Yule msimamizi anayesimamia kunyanyuka bech kwa benchi alipofika walipo masista na ilikuwa robo ya watu wote , aliruka as if wao siyp watu kama...
Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe
-Awe anajituma...
Nashangaa wakristo waliowengi wakitaka kutuma ujumbe kuhusu siku hii kubwa duniani na kuandia X-mass, badala ya kuandika "Christmass". Neno "X" ni neno la kishetani likimaanisha "biashara ya...
UKIMUONA MTU AMEFANIKIWA JUA KUWA MUNGU AMERUHUSU NA SHETANI AMERUHUSU
PENGINE NAWE ULISEMA "HUU MWAKA NI MWAKA WA KUFORCE, LAZIMA WATAKUITA BOSS" .
LAKINI UMEFORCE SANA UMEAMBULIA NUKSI NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.