Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika...
Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form...
Habari wana jf
Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio inasika online na kwenye cable milan cable arusha.
Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni...
CHAMA cha Majaji Wanawake Tanzania(TAWJA) kimesema kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti nchini.
Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani...
Raha ya starehe, ifanye usimkere mwenzio, lakini kwa kinachofanyika Sinza, ni kukiuka mipaka ya starehe.
Kila siku zinavyozidi kwenda, baa zinazidi kuota maeneo ya Sinza na nyingi zipo kando...
Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la...
Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM.
Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA .
Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila...
Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.
Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga
1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala...
Ewe kijana jitathimini sasa.
Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata.
Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia...
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali...
Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha...
Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo...
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa...
Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi...
Jana nilikuwa na safari ya kwenda Shinyanga kutokea Mwanza. Niliyoyaona njiani wananchi wakiteseka kutafuta maji kweli inasikitisha sana huku tukiwa na Ziwa Victoria kwenye ukanda wa Ziwa...
Mdau,
Nataka kuhamia mkoa wa Mwanza, hasa maeneo ya mjini. Ni shule gani ya sekondari ungenishauri nihamie?
Nahitaji pia kujiongezea kipato kwa kuangalia furusa zitakazokuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.