Husika na maada tajwa hapo juu;
Naomba Kama Kuna mtu humu, alishawahi kukopa mkopo vision fund au ni mtumishi wa taasisi hiyo, atuambie taratibu zake zipoje na mkopo inatoka baada ya muda gani...
Wasomi ni watu Wenye maswali mengi sana ktk Biashara,pia Wasomi uendesha mambo kwa maelezo mengi,ila sisi ambao sio Wasomi si Tunafanya tu bila kua na maswali mengi matokeo tutakunana nayo uko...
Leo nilimtembelea Jestima, pale kijiweni opposite na kituo cha polisi wanapouza mchicha.
Mama Naomi ndiye mwenye matuta mengi zaidi. Nikakaa dukani kwa Willie mume wa Mama Eliza nikinywa zangu...
Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo
Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi...
Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali?
Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda.
HALAFU...
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why...
Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama...
Wakuu,
Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake.
Ni hasara.
Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo...
Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari...
Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi...
Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo...
MWANZA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu zaidi ya 300 wanaojihusisha na vitendo mbalimbali vya kihalifu ikiwemo makosa ya barabarani ambayo yanahatarisha maisha na kusababisha...
Wakuu,
Nimetoka hapo Tegeta one time, wakati naperuzi peruzi hapo ndio nikaipata hii.
Ni kwamba baada ya tukio lile la TRA sasa hivi kila siku polisi wanaenda maeneo hayo saa nne usiku, ukikutwa...
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi...
Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya.
Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka...
Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na...
Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine.
Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭...
Mimi ni abiria ambaye natumia huduma ya Mwendokasi karibia kila siku hasa Kituo cha Kivukoni lakini kuna kero ambayo naona siwezi kuendelea kuifumbia macho.
Katika Kituo hicho huduma ya choo cha...
Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili”
Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea.
Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.