Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
😂 au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
6 Reactions
27 Replies
896 Views
Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa, baada ya kufika hospitalini Ni basi la kampuni Kabco ambayo...
15 Reactions
102 Replies
5K Views
Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Habari za muda huu mdau wa soka la bongo. Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Huyo bwana mdogo ni mmoja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana...
2 Reactions
2 Replies
147 Views
Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba...
1 Reactions
2 Replies
136 Views
Msikilize hapa akielezea kuhusu hilo akisema ni katika mambo ambayo hatokuja kusahau katika maisha yake yote. Akiulizwa ni tukio gani hatalisahau kamwe kwenye maisha yake Joseph Benard AKA...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam,Shalom!! Twende Kwa kifupi zaidi, Mtu wa ndani ni nani? Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Mtu wa nje ni nani? Mtu wa nje ni mwili uliotokana na udongo, Mtu wa ndani...
2 Reactions
1 Replies
307 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika. Mkurugenzi Mkuu wa...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria...
2 Reactions
3 Replies
210 Views
Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo: Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu. Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu...
0 Reactions
21 Replies
511 Views
Salaam. Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia...
4 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakuu Ukilewa na huna usafiri waombe jeshi la polisi wakupeleke home chap 😂 == Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni (RTO), SSP Solomon Mwangamilo, amewashauri wananchi wanaojikuta...
11 Reactions
43 Replies
1K Views
Jamani, kwa niaba ya wafanyakazi wote wa serikali na halmashaur mbalimbali embu tuwekeeeni hio mishahara haraka iwezekanavyo, leo ndio siku nzuri ya kufanya maandalizi kwa ajili ya sikukuu za...
3 Reactions
21 Replies
657 Views
My Take: Nataka wanawake ambao wanazaa mapacha kama huyu Mchina 👇 ========= Raia wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21. Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60. Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960. Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia...
2 Reactions
19 Replies
459 Views
Habari Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela. Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe...
2 Reactions
2 Replies
82 Views
Mwanaume amevaa kaptula kisha ana mguu wa beer. Mguu mnene kama wa mwanamke. Nimejisikia vibaya jirani wanasema "jamaa ana mguu mzuri wa bia kama angekuwa binti ingekuwa magoli sana" Mhusika...
7 Reactions
22 Replies
657 Views
Habari za muda wakuu wa Jf.... Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Wewe fanya mambo yako yoote ujanani unavyojua wewe, maana hiyo ni sehemu ya ubatili wako chini ya jua kama kitabu cha Muhubiri kinavyosema, lakini kamwe usiutabiri uzee. Ya kesho muachie Mungu...
9 Reactions
39 Replies
990 Views
Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Back
Top Bottom