kwa sababu zile zile ambazo makampuni hubadili majinanyao, basi hata hili bara letu imefika muda muafaka sasa tubadili jina lake…
Napendekeza liitwe… ‘New Heaven’
Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu.
Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab)...
Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama...
Wilaya ya Mvomero haijishugulishi na mji wake
Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ni kama haipo.
Wilaya hii eneo lake la centre (uso wa mji wa Mvomero) ni eneo moja linaitwa Wami Dakawa dakika 05...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar
Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec
Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa
Basii...
Kuna kundi la watu ambao wanaiomba serikali ifungie twitter nchini kwa kudai kuwa twitter imeruhusu maudhui ya mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo, najiuliza ni mtandao gani ambao hauruhusu mapenzi...
Simba ndiye mnyama mwenye nguvu kuliko wote katika uso wa dunia, na anajulikana kwa jina la mfalme wa porini, na kumuona katika ndoto ni moja ya maono ya mara kwa mara kwa watu wengi, kwani ni...
MADAI YA FIDIA KWA MWEKEZAJI WA MGODI NA. 2 Lubaga, Mkoa wa Simiyu.
Kwa nini hawajajitokeza kujibu, Malàlàmiko yangu ya kuhàribiwa bústàñí yàngu niliyoyatoà hivi Karibuní kwenye jukwaa hili...
Leo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza.
Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama...
Ushauri kwa Serikali Kuhusu Kufungia Makampuni ya Betting
Makampuni ya betting yamekuwa mengi sana katika jamii yetu, yakileta athari chanya na hasi. Kufuatia hatua ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT)...
Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote.
Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi.
Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na...
Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado...
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge amesema kuwa Watu zaidi ya elfu 18 kitika kipindi cha mwaka mmoja wamenufaika na huduma mbalimbali za kibingwa kwa magonjwa...
Kwanza kimsingi Kabisa kilimo cha nchi zetu hizi za kimaskini return yake huwa ni ndogo sana tunalima basi tu ku jikeep busy na walau kupata chakula ila kutoboa ni uongo ndo maana wakulima ni...
Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.
Ukinywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.