Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu...
Ninashusha windo kwenye PC, nimekutana na machagulio hayo matatu. Nichague kipi ili niweze ku-activate Windows kwa kutumia Kmspico?
Nilishusha windows dakika chache zilizopita kwa kutumia Windows...
Nishati ni muhimu sana katika Nchi na Tanzania kama nchi ya kitropiki imebarikiwa kuwe na Jua la kutosha ukiunganisha na vyanzo vingine vingi, vilevile kutokana na Vyanzo vya Maporomoko Nishati ya...
Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili.
Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna...
Hii ina maana gani pale mtu unapoota ndoto kama hii;
Siku moja tulikuwa watatu, mimi na wasichana wawili katika ghorofa fulani floor namba 7. Wale wasichana waliniaga wanapanda lift wanakwenda...
Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara.
Muda mwingine hata ndani ya dakika...
Naamini mzee mbowe ni mzee mwenye maono makubwa sana.
Kwa busara zake nashauri apate ushauri mwingine kutoka kwa wazee asigombee amuunge mkono Tundu lissu kama baba mlezi wa chama!
Chadema ni...
Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa.
Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na...
Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni.
naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs.
It's very painful.
NB: mimi sio mwa CCM.
Niko nimejilaza zangu kitandani nikiwaza na kuwazua huku nikifurahia mvua na radi zinazoendelea huko nje.
Katika kuwaza na kuwazua nikamkumbuka Clepatina wa umri wa miaka saba au nane hivi...
Hii imenitokea
Niliandikiwa fine ya laki 3
Nikaomba control number
Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo.
Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu...
Haya mambo najua watu wengi wamekumbana nayo,kuibiwa simu,Tv,Radio,Pikipiki n.k
Mimi nakumbuka mwaka 2017 nipo Mbeya,kuna wafanyakazi wenzangu wawili, walipanga nyumba nzima maeneo ya Iwambi...
Soko la dharura la Mwanakwerekwe C lililopo Wilaya ya Magharibi B Mkoa wa Mjini Magharibi hali yake siyo nzuri kutoka na uchafu kuwa mwingi maeneo hayo.
Licha ya kuwa Serikali ilitangaza na kutoa...
Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za...
Arusha
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea eneo utakapojengwa Mji wa “Samia AFCON City” kwenye eneo linalozunguka Uwanja Mpya wa Michezo unaojengwa...
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA)
(1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja...
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom?
So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi...
Habari Wakuu wa JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi.
Kuna mambo kadhaa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.