Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo
Ibada hiyo...
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende...
Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya...
Wengi mmenifariji sana, nashukuru sana wakuu.
Napenda niseme kitu kimoja sio Kweli Kuwa sisi graduate ni wavivu hapana, mitaani tu hapa hata kazi za ujenzi na ngumu wanapeana kwa kujuana.
Wakuu...
Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani.
Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?
Habari Wanandugu,
Hivi ulishawahi kushuhudia mharifu kama mwizi, kibaka au mporaji akipokea adhabu kutoka kwa raia?
Hakika inatosha kusema kwamba Adhabu wanazokabiliana nazo waharifu na kisha...
Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu,
Matatizo yako ni yako, binadamu...
Makala hii ni muhtasari mpana wa sehemu ya kwanza ya mjadala kuhusu mchango wa wastani wa IQ katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya bara la Afrika. Katika sehemu ya kwanza, tulichambua jinsi...
Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tuzo za uhifadhi na utalii na kusisitiza kuwa Serikali itendelea kubuni mikakati ya...
Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa.
Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada...
Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024
Wagonjwa waliojitokeza - 441
Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419
Waliopoteza Maisha – 6
Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu...
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu...
Akizungumzia taarifa za uwepo wa Kipindupindu Mkoani Simiyu, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amesema Viongozi wanatakiwa kushirikiana na Jamii katika kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu suala...
Nawasalimu.Mabasi kutoka Dodoma kwenda Moshi yamejaa hadi baada ya xmas. Kama Kuna private tarehe23 December Kuna abiria wawili wa kuchangia mafuta.Nawasilisha.
Dampo la Buhongwa lipo eneo la Manispaa ya Nyamagana Jiji Mwanza, rekodi za Serikalini zinaonesha lilijengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 8.87.
Licha ya ukubwa wa Dampo hilo ambalo awali...
Soko la Keko Mwanga lilipo Temeke Jijini Dar es Salaam lina umri wa takribani Miaka 48, tangu lijengwe Mwaka 1976 Wafanyabiashara katika soko hilo wanasema halijawahi kukarabatiwa hata mara moja...
Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya.
Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.