Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku...
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita. Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi...
6 Reactions
23 Replies
626 Views
Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila...
3 Reactions
4 Replies
160 Views
Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani...
0 Reactions
2 Replies
235 Views
Mwanaume self-made ni aina ya wanaume ambao wa mehaso/hustle katika maisha haya na kutoboa au kufanikiwa bila msaada wa mali kutoka kwa ndugu jama au rafiki, wengi wana pambana na watu wenye husda...
30 Reactions
134 Replies
7K Views
🔥 JAMBO NI LA MOTO, TAREHE IMEWEKWA WAZI NI 21 DESEMBA, 2024 Jumamosi, 21 Desemba 2024, tukutane viwanja vya Mbagala Zakhiem. Kuna jambo kubwa la kihistoria kwa vijana wote! Kijana Vunja kabati...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Full Moon ritual Universe Manifestation Laws of Attraction Medium Astrology Palm reading Kwa kibinadamu zaidi, hizi hatua huonekana hazifungamani na roho yoyote. Ni hatua zisizoonekana...
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Jamii imeendekeza zaidi mipira na michezo ya kamari kuliko mambo yanayogusa maisha yao moja kwa moja. Maana sio ajabu kwa sasa kuona vikundi vya watu vijana kwa watu wazima wamejikusanya sehemu...
4 Reactions
8 Replies
279 Views
Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri ...
2 Reactions
11 Replies
432 Views
Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa...
1 Reactions
2 Replies
233 Views
Wakuu salaam, Kuna mwamba ni mfanya biashara, hajui kusoma wala kuandika, japo katika hesabu za pesa huwezi mpunja. Hivi karibuni alipoteza sim, sasa juzi kanipa simu yake mpya nimjazie namba...
11 Reactions
17 Replies
689 Views
Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa...
4 Reactions
10 Replies
367 Views
Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu. Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi...
13 Reactions
78 Replies
4K Views
Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Gari aina ya Toyota Harrier lililobeba watu sita wa familia moja limepinduka baada ya kuacha njia na kuingia kwenye mtaro. Ajali hiyo imetokea leo Desemba 20, 2024 eneo la Kizumbi katika Manispaa...
2 Reactions
11 Replies
692 Views
Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia; Lifestyle ya...
4 Reactions
42 Replies
717 Views
Habari hapa jamvini Leo kuna jambo limekuja kichwani naona majibu yanaonesha wengi wataenda motoni Hivi muislam mwenyewe wake wa4 akaokoka. Wale wake zake wote wa4 anawapeleka wapi kwsbb kwa...
2 Reactions
58 Replies
1K Views
Back
Top Bottom