Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huwa nashindwa kuelewa ni kivipi nchi ya Singapore ambayo ni sawa na nusu ya mkoa wa Dar es Salaam tu ina ukubwa wa uchumi(GDP) sawa na jumla ya GDP ya nchi zote 8 za jumuiya ya Africa Mashariki...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Anonymous (565d)
Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors)...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekamilisha na kukabidhi rasmi nyumba 109 kwa familia zilizoathirika na maporomoko ya tope yaliyotokea mwezi Desemba mwaka 2023, wilayani Hanang, mkoani...
0 Reactions
4 Replies
254 Views
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi. Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri. Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine...
21 Reactions
180 Replies
10K Views
Kuna bomba lipo Kimara Korogwe, uelekeo wa Mji mpya karibu na daraja (Njia ya kuelekea Kam College) limepasuka siku ya 5 sasa. Jitihada za wananchi kuliziba zimegonga mwamba kutokana na wingi wa...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo. Soma Pia: Dodoma...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Anonymous (37aa)
Ndg.Mhariri, Naomba kutoa malalamiko yangu nikiwatuhumu Afisa Madini Mkoa wa Simiyu na Afisa Mtendaji wa Kata ya Dutwa kwa kushindwa kusimamia kikamilifu kwa namna moja au nyingine madai ya...
0 Reactions
3 Replies
197 Views
Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana...
2 Reactions
11 Replies
299 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS) Dar es Salaam-19 Desemba, 2024 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuutaarifu umma na...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba zote za wahitaji 109 za waathirika wa maporomoko hayo...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Leseni mlimpa mtu kwa vigezo vya vipimo na vyeti baada ya miaka mitano anakuja kurenew mnamwmabia tunataka vyeti kwani wakati anaikata hiyo leseni ilitolewa na nani au hamuaminiani...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Naomba kujua namna rahisi ya kufika Kigali from Dar.
2 Reactions
9 Replies
506 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Leo ni siku ya Uhuru, nimefungulia redio nikatune Wasafi FM nikasikia wanapiga nyimbo ya miaka ya 60-80. Vijana wa sasa huziita zilipendwa. Sijui jina la nyimbo wala aliyeimba simjui lakini nikawa...
15 Reactions
58 Replies
4K Views
Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la...
2 Reactions
3 Replies
491 Views
Kwa mujibu wa taarifa kutoka gazeti la The Tanzania Times ,watu 2 raia wa Tanzania ambao ni madereva wa malori ya masafa marefu Wameuwawa Nchini Zambia Kwa Kushambuliwa na Magenge ya wahalifu...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
MJUE KOMANDO ALI MAHFOUDH Kanali Ali Mahfoudh ni Mmoja wa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ waliotajika sana kwa Miaka hii 50 ya Jeshi letu hili, viza Ushupavu, Ushujaa na Umahiri...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi. Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer)...
1 Reactions
4 Replies
349 Views
Back
Top Bottom