Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na...
Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya...
1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi?
Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani?
2.Ndoto zako...
Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao...
Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo, ameonyesha mfano wa uongozi wa vitendo kwa kutoa mchango wa zaidi ya shilingi bilioni moja ili kusaidia maendeleo katika jimbo lake.
Fedha hizo...
Shule nyingi za serikali zimekuwa zikikataza watoto wa kike kusuka na kuna shule baadhi za serikali zina ruhusu wanafunzi wake wa kike kusuka, je hii ni sheria au ni maamuzi ya shule husika na...
Professor mahiri Mark Mwandosya amewatolea uvivu Mainjinia wa Kibongo kutoka TanRoads na TARURA Kwa Kujenga Barabara kienyeji na chini ya kiwango huko Wilayani kwake Busokelo.
Prof Mwandosya...
Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri.
Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua...
Sisi watanzania ni jadi yetu kusaidiana na kukwamuana mtu wako wa karibu anapokuwa na changamoto hasa za kifedha.
Unapomuomba mtu akukopeshe pesa hakikisha unaporejesha unazingatia kuweka gharama...
Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata...
Such indoctrination ni hateri kwa watoto akimaliza shule na akikosa ajira na kuweza hata kutatua matatizo yake binafsi, atawezaje kufix ya nchi nzima, mwishowe ni kuchanganyikiwa, sikilize hiyo...
Kero yangu kubwa ni kuhusu hizi taa za barabarani (road sign) hapa maeneo ya Tegeta Kibaoni huu ni mwezi wa tatu hivi hazifanyi kazi na wahusika wanaona lakini kimya.
Hapa tusipokuwa makini kuna...
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60.
Hayo...
Imenishangaza sana, niko hapa Bunda (Mkoani Mara) nina biashara yangu, jana nilienda Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kufanyiwa hesabu nilipe mapato na ushuru wa hotel (hotel levy)...
Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa kuwekeza mkoani Kagera kufuatia hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi ambazo mkoa wa huo umefikia ikiwa ni pamoja na mipango ya maendeleo...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.