Zamani tulipokuwa vijana wahindi wengi sana walikuwa wanafanya kazi Bank...hata humu NBC kabla haijavunjwa na kuzaa NMB wahindi walikuwa kibao...kuanzia miaka ile ya 60 mpaka sabini mwishoni...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine.
Opinion...
Habari za asubuhi wanajukwaa poleni kwa majukumu mbalimbali na mungu atatuvusha vema katika nyakati zetu ngumu amen.
Mwaka jana nilikuwa na uzito mkubwa sana kiasi kwamba nikawa napata shida sana...
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua...
chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024
Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni.
kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka...
Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo...
Nimekutana na hii post kwa mtu wa karibu tunayefahamiana kupewa million Tano kwa kujisajiri kwenye hilo shirika
Post hii
"wengi walighairi ila ni ukweli nilipokea hizi hela kutoka USAID...
Aisee wazee wa zamani waliufaidi muziki...huu wimbo ndio bora kwangu toka nimekuja duniani kwa sababu zifuatazo
1. Mashairi yameiva kuna ujumbe murua
2.Una vibe balaa
3.beat lipo kwenye high...
Zijue Furushi za Baraka Zinazotokana na Kutoa Sadaka
Sadaka ni nini
Sadaka ni kitu au fedha ambazo hutolewa na mtu kwa kuwapa wale aliowakusudia kama ishara ya kuwathamini na kuwapenda. Ni...
Weekend niliamua kutembelea viungo vya mitaa ya Mromboo.
Unapoitaja viungo vya mitaa ya Mromboo moja kwa moja akili inakimbilia ulaji wa Mbuzi choma.
Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu hasa...
Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.
Hata...
Wakuu salam,
Ajali nyingi zinatokea zikihusisha malori kama umechunguza mara nyingi huwa ni sababu dereva alisinzia kutokana na uchovu mwingi wa kuendesha muda mrefu bila kupumzika au anakuwa...
Kuna afande mkubwa juzi aliwatangazia wananchi kuwa wasiogope kuomba lift kwenye difenda la polisi.. Maoni yalikuwa mengi
Mimi katu sithubutu (tena) kuomba lift kwenye difenda la polisi...
Siku...
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya...
Hii ilikuwa ni miaka ya '90 mwanzoni, tukitokea pembezoni mwa mgodi wa Mwadui, tulifahamika kwa jina la "Wabeshi".
Zana zetu za kazi ilikuwa ni sululu, chepe na majembe yaliyonolewa sana...
Mada Inajieleza.
Mh. Deus Sangu bado ni kijana?
Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni, Ufafanuzi ni kwamba Bernard Morrison...
Nimelitumia hilo neno "influecer" lakini kwa JF ni la hovyoo.
Yani inamaanisha Chawa.
Sasa mimi sitaki wahita hawa ni chawa ila ni Greatest Boldied Indivuduals. Lakini wameamua tu ku potea..! Why...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.