Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti.
Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma...
Kilogramu 614.12 za Dawa za Kulevya Zateketezwa Dar es Salaam
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya leo imeteketeza kilogramu 614.12 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji...
Kwenu walezi wote wa watoto nawaombeni tushirikiane kuwafanya watoto wetu wa kiume wakue kiume na wawe wanaume halisi wa kesho
1. Nianze kwenu wazazi akina mama
Toeni nafasi kwa watoto wenu wa...
Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida.
Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana...
Government Procurement Service Agency (GPSA) tatizo ni management kama yule DBSS hafai kabisa kuwa ofisini ni fisadi halafu mbinafsi na mbaya Zaidi anawahonga wakaguzi wanapokuja kumkagua na mambo...
Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana
Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana
Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja
kuna kivuli...
Yaani Toka zamani kila ninapoenda lazima nione Tandu na saa zingine kila room ninayokaa haipiti mwezi lazima nione Tandu na nilishawahi ng'antwa na Tandu why?
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV .
Na hawa ndo watumishi wa kweli .
Nitatoa ushuhuda ufuatao .
Pale katika kanisa lake 90% ya...
Chama kinatengenezwa kwa mambo 3 ili kuweza kuendelea kuwepo.
Kwanza System,structure na Itikadi/kanuni/sheria.
System/Mfumo unaangalia namna gani utasimamia itikadi isiweze kiharibiwa kwa...
Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama...
Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad?
Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa...
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu.
Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja.
Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma.
Mfano mtu nataka kujua...
Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana.
Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo...
Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi...
Kuna nini nyuma ya pazia kwanini kesi za ulawiti na unyanyasaji kwa watoto zimeshamiri lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali?
Inawezekanaje mtoto wa miaka 4-15 kulawitiwa au kuingiliwa na...
Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.
Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary...
Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa.
Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana...
Hivi wakuu hili limekaaje, sikuhizi TRC hawapost kabisa habari ya treni kwamba itakua na safari za Moshi au kutangaza habari za kuwepo kwa treni za kati.
Wanapost tu habari za SGR na safari zake...
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo.
2. Mje na dada wa kazi huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.