Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ
1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk...
Ukiangalia mtifuano uliopo Katika Kinyang'anyiro Cha Uwenyekiti Taifa ndani ya Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA, utagundua kwamba Kuna Uzima na Mauti kwenye hicho Chama.
Mauti ya Chadema iko...
Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu?
Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya...
Habari ndugu zangu,bila shaka wazima.
Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama...
Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu
1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii.
Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa...
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza...
Je, Waafrika Tungeweza Kujifunza Kutoka kwa Wahindi na Waarabu?
Jioni ya Jumapili, nilikuwa nikiwa miongoni mwa wazee wa jiji hili kwenye kikao cha kahawa, mahali ambapo akili hupata fursa ya...
Ni pale mpo katika kundi kutekeleza kazi fulani Katika lile kundi wapo watakao kaa pembeni kuangalia hawagusi chochote, Wapo watakao papasa tu ili mradi waonekane nao walishiriki kwenye hiyo kazi...
Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo...
Ukijisomea historia ya Africa kabla ya ukoloni hakukua na mashoga kabisa
Katika masimulizi ya makabila na jamii zetu au soga za hadithi utani na vichekesho hakukua na hadithi za mtu alowahi kuwa...
Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda naomba utusaidie maelezo ya kina kuhusu shule za msingi za serikali zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza.
Swali ni moja tu, KWA NINI MWANACHI ANALAZIMIKA...
Idara ya maji mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard Hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka mda huo huo na kutumika
Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi.
Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la...
BLANKETI LA UJIMA LIONDOLEWE KATIKA MFUMO MPYA WA ELIMU.
Serikali ya nchi yetu kupitia wizara ya elimu ipo katika maandalizi ya sera mpya ya elimu ambayo inamabadiliko makubwa na kwa kiasi kikubwa...
Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kushirikiana na Wakala wa Barabara (TANROADS) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya...
UKIMILIKI PESA UMEMILIKI HISIA ZA KUJIAMINI NA UKIKOSA BASI UMEPOTEZA SEHEMU YA KUJIAMINI.
Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote...
Nilikuwa bado mgeni Wiliya flani mwaka 2022 mkoa x huko kaskazini.
Nilipanga mitaa flani pembeni mwa mji, kumetulia karibu na kijito flani cha mchongo kilikuwa kinatiririsha maji na pembeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.