Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo...
Na Mwandishi Wetu, Tanga.
NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa...
Serikali ya Tanzania imekabidhiwa mitungi 10,000 ya gesi, ikiwa ni juhudi ya kuunga mkono kampeni ya matumizi ya nishati safi nchini.
Mitungi hiyo imekabidhiwa kwa Serikali jana Jumamosi, Machi 9...
Mr. Manguruwe yamemkuta huko.
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kwa jina la Dkt. Manguruwe na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya...
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!
Ila ona huku mpaka leo kimya..
Tujikumbushe hapa
Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari...
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na...
Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru...
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu...
Kuna baadhi ya wanachama wanafikiria kuwa bila Mzee Mbowe kuwa mwenyekiti eti chama kitakufa/ kupoteza mwelekeo hiyo ni dalili kuwa Chama cha chadema bado hakijakua wala hakijafanya maandal
Nchi hii ni yetu sote.
Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi.
Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya...
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza...
Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia...
Jana niliona picha wananchi wakiwawajibisha viongozi wao akiwemo diwani wao huko Arusha. Nikakumbuka diwani wa huku kwetu Minga. Huyu jamaa alikuwa mwenyekit wa BAVICHA akahamiq CCM. 2020 akapewa...
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra!
Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania...
Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane
---
AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA.
Watu 14...
Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )...
Aisee
Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za...
Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa)
Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.