Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoa tangazo la kulipia matukio ya sherehe na kisha tangazo hilo kusitishwa kwa muda, mjadala umekuwa mkubwa baada ya wananchi nao kupinga sheria hiyo...
Inasikitisha sana Viongozi wetu bado wanapambana na mafurushi ya makaratasi katika kusoma Hotuba, hata kubadilishana taarifa (Mawasiliano serikalin). Zama za digitali. Vishkwambi mbona Bei rahisi tu?
Habari wakuu.
Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu...
Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia.
Inapotokea...
Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye.
Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka...
Muda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu
Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza
Muda mwingine niko ndani hawajui...
Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili...
Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa
Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye...
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi...
Siku hizi, kuna kitu kinachoitwa “soft life” – maisha ya raha, bila presha, na kila kitu ni utulivu. Mitandaoni, watu wanajipiga picha kwenye hoteli za kifahari, wanavaa nguo za bei, wakila...
Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu!
Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote...
Na Mwandishi Wetu.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda ametoa tuzo ya heshima kwa kampuni ya uzalishaji wa vinywaji changamshi ya Mati Super Brands limited ambao ni...
Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu
JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA?
Kwa...
Salaam wanajukwaa. Jamaa yangu amepatwa na tatizo ambalo yeye mwenyewe halielewi na hata Mimi aliyenisimulia nimeshindwa kumuelewa ndomana nimelileta kwenu. Iko hivi, huyu rafiki ni mtumishi wa...
Wana JF natumaini mko salama.
Naomba kushirikisha suala moja hapa, Katika kupambana kwangu na harakati za kujikwamua, nikafanikiwa kununua Kiwanja na kujenga nyumba.
Pia nikafungua biashara ya...
Wakuu Kwema
Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane
Nimefika kituo Cha Treni...
Kama upo addicted na kutumia simu hii ndio easy way ya kukufanya kupunguza matumizi ya simu. Ukiwa na uhakika wa chaji na mb basi ndio utaona mtu muda wote simu ipo kiganjani.
Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.