Mtanzania halisi hapendi kazi anapenda kupumzika kila wakati, kama siku ya mapimziko imeangukia alhamisi hata ijuuma hata enda kazini mpaka siku ya j3.
Kipindi mimi ni mtumishi kuna wakongwe...
Wakuu,
Pale ambapo taarifa inakuja zaidi ya saa baada ya umeme kukata! Walikuwa wanasikilizia kwanza kuona muujiza ama? Nyinyi TANESCO na DAWASA Wizara ya Maji siku hizi hamna maana kabisa.
Mbu...
Wakuu habari zenu?
Leo nitatoka mkoa jirani nilipo nitasogea Arusha kuchukua GITAA la garatoni ili niweze kuanza rasmi mafunzo ya gitaa. Nina ndoto toka zamani kuja kuwa mpiga vyombo vya muziki...
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali.
Akizungumza na...
Habari za muda,
Mimi ni mdau kutoka Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi, tuna changamoto ya maji kukatika ni wiki ya pili sasa hivi inaelekea na tumesharipoti kwa DAWASA lakini hadi hivi sasa...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika...
Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala...
Kwema Wakuu!
Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya...
Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato...
https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U
Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam...
Kwanza kabisa naomba kuuliza maana asojua maana anatakiwa kuambiwa.
Tunaposema nchi flani imeendelea kupiga hesabu la pato la Taifa lakini ukiangalia pato la Mwananchi siyo la kuridhisha huwa...
Nimeamua kuandika mada kutokana na tatizo la mmoja wetu hapa JF kule kwenye mada ya pombe na wanywaji/walevi.
Huyo ndugu yetu ana tatizo na ulevi, hana control na kila akilewa hufanya mambo ya...
Kwa muda wa miongo miwili sasa China imeendelea kuwa mmoja wa wawekezaji wakubwa nchini Tanzania, na takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa mwaka 2023 peke yake uwekezaji wa moja kwa moja (FDI)...
Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura
Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne?
Kama kariakoo tu ni hivi...
Kumekuwa na tabia ya madereva wa mabasi ya usiku kwenda mwendokasi licha ya abiria kupaza sauti, mabasi yamekuwa yakienda kwa mwendo Kasi Hadi 120km/h speed kitu ambacho ni hatari.
Mathalani basi...
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa.
Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali...
Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya.
Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk
Lakini angalieni pia...
Nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ambayo wameendelea kufanya kwenye taifa hili.
Ila lengo la andiko hili ni kusema kuwa polisi wanapresha ambayo inasababishwa na wao kutuhumiwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.